Copy and pest same sale at low price using low quality material πSpeed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
View attachment 3159045
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10.
View attachment 3159042
Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu sana.
Na kampuni la pili ni Geely ambayo iko nafasi ya 9 imemtoa mchezoni Suzuki.
Wakongwe Toyota Honda Nissan nk mauzo yao yanashuka ukicompare na mwaka jana, muda kama huu.
daah! hiyo ya kununua 0 km kwa walio wengi naona itabaki kuwa ndoto na matamanio tu..nafikiri kikwazo unakijua nchi hii wapi tutakwamaKasi ya China kwenye magari inatisha, kama ataendelea hivi tutaanza kununua gari 0km kama tunavyofanya kwenye bodaboda na bajaji
Naona wafadhili wa vita wameshuka mauzoSpeed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
View attachment 3159045
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10.
View attachment 3159042
Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu sana.
Na kampuni la pili ni Geely ambayo iko nafasi ya 9 imemtoa mchezoni Suzuki.
Wakongwe Toyota Honda Nissan nk mauzo yao yanashuka ukicompare na mwaka jana, muda kama huu.
Na walivyo hawana akili wanashadadia kutoa mimba na kutozaa.If the West had the same amount of People as China even half of China, China would never have matched them at anything
Sasa kama mtu anamudu kununua Harrier 3rd Generation ya 80M na ni mtumba. Au Range Rover 4th Generation zile za 145-150M na ni mtumba atashindwaje kununua gari ya $25000 ikiwa mpya.daah! hiyo ya kununua 0 km kwa walio wengi naona itabaki kuwa ndoto na matamanio tu..nafikiri kikwazo unakijua nchi hii wapi tutakwama
πππππππ Endelea kuota, kodi ni kwa ajili ya starehe za viongozi wa Chama. Sio lamiAtuletee hizo EV hasahasa hybrid tuzinunue 0km sie........ gari ziwe kama bodaboda tu.
Kwenye issue ya kodi hata ikishuka isipungue sana maana watu wa magari wanatumia sana kodi za nchi kujengewa mabarabara. Lazma walipe kodi ni haki kabisa, kama unabisha nenda kaangalie sehemu barabara inajengwa mpya uone idadi ya mifuko ya simenti ilivyotandazwa nani ATAILIPIA?
Viongozi wanafaidi stahiki zao (labda na zaidi kidogo marupurupu) ambayo ni haki yao, mtenda kazi anastahili kulipwa ujira wake.πππππππ Endelea kuota, kodi ni kwa ajili ya starehe za viongozi wa Chama. Sio lami
They know what the consumer needs.Copy and pest same sale at low price using low quality material π
Huyo anar kuuzia cheap ana wateja wake anae wauzia kwa bei mbaya but quality zaidi. And si kweli malori ya ulaya yamesahaulikaNakumbuka target ya kampuni ya Huawei ilikuwa ni kuwa namba moja ikifika 2022 mwisho wa siku walipigwa vikwazo vikali.
Baada ya miaka 5 mbele wachina wataongoza duniani kwenye uuzaji magari
Leo hii Tanzania tumesahau mabus na malori ya ulaya Japan.