Top 10: ya Mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya Umeme 2022:

Top 10: ya Mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya Umeme 2022:

Kati ya msitu na jangwa bora nini,wameigeuza nchi kuwa jangwa
Msukuma huwa hakai jangwani huwa anapatikana sehemu zenye rutuba, sehemu zenye rutuba msukuma huwa hakosi, jangwani wapo wagogo, masai na watu wanaofanana nao.
 
Msukuma huwa hakai jangwani huwa anapatikana sehemu zenye rutuba, sehemu zenye rutuba msukuma huwa hakosi, jangwani wapo wagogo, masai na watu wanaofanana nao.
Wanafyeka miti sana wakishamaliza kufyeka wabahama mkoa,pumbavu sana,geita ,kahama,runzewe,tabora miti yote imekwisha
 
Upuuzi wakati wasukuma wamejaa huko kusini na wanataka kuchukua ardhi yenu yote na bado unawaita wapuuzi, simba mwenda pole ndio mla nyama siku mkija kushtuka usingizi mtakuta hamna chenu tena.
🗑️🗑️
 
Umetoka lini kanda ya ziwa
Wengine wanakata miti ili wapate maeneo ya kulimia, mashamba n.k japo sio jambo zuri, Mwanza na kagera tunajitaidi kupanda miti na miji inaonekana ya kijani sana.
 
Wengine wanakata miti ili wapate maeneo ya kulimia, mashamba n.k japo sio jambo zuri, Mwanza na kagera tunajitaidi kupanda miti na miji inaonekana ya kijani sana.
Kagera wanapanda sana pine ila wasukuma hawapendi miti wanakata sana miti ila spidi ya kupanda sio nzuri
 
Mikoa ya kimkakati Kwa viwanda ni Shinyanga,Tanga,Arusha,Pwani,Dar, Morogoro na Mbeya.

Mikoa mingine hiyo inabebwa na migodi kama Shinyanga na Mara.

Lakini ukweli unabakia pale pale Mwanza sio Mkoa wa Viwanda na Wala hauna eneo la kutosha kujenga Viwanda.
Ila Dar lipo!!?
 
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH

2.Pwani-635.7GWH

3.Arusha-413.9 GWH

4.Shinyanga-411.2 GWH

5.Tanga-408.7 GWH

6. Mwanza-344.5 GWH

7. Morogoro-307.5 GWH

8.Dodoma-249.3 GWH

9.Mbeya-231.5GWH

10.Mara-215.1 GWH

Chanzo: TANESCO/NBS
Mnaposema chanzo ni NBS na Tanesco muwe mnaweka na link au taarifa mliyonukuu sio kujisemesha tuu,,where is reference?
 
Back
Top Bottom