Mleta mada point yake ni Mali tunazo ila akili ndiyo hivyoooUelekeo wa uzalishaji mali vichwani mwa viongozi nao wakibadilika basi tutapiga hatua kwenda mbele, tukubaliane sasa kilimo hasa organic kitiliwe mkazo ili tuuze vyakula vyetu masoko ya ulaya kwa thamani kubwa maana hizo mbolea wenye pesa hawali vyakula vya mbolea hovyo
Kilimo ndiyo mpango mzimaTuimarishe project za ngano, manyara na njombe ili tukimbizane na ethiopia kwa sasa wanazalisha ngano nyingi, fukwe zetu za maziwa na bahari ziboreshwe kisasa na usafi na kuvutia utalii wa fukwe,
Tuna Tanzanite, tuna dhahabu, ruby, tuna saphire, tuna almasi, tuna makaa ya mawe, tuna chuma, tuna ardhi yenye rutuba, tuna mito, bahari, tuna wanyama poli, tun ng'ombe wa kutosha, tuna mbuga. Huu ni utajili wa kutosha kuna nchi hazina hata robo za tulichonacho lakini wana mipangilio na wameendelea. Kuna nchi zimeendelea kwa kilimo tu cha miwa.Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
Haba na haba 😁😁😁😁 hata kibaba hakijaiTuna Tanzanite, tuna dhahabu, ruby, tuna saphire, tuna almasi, tuna makaa ya mawe, tuna chuma, tuna ardhi yenye rutuba, tuna mito, bahari, tuna wanyama poli, tun ng'ombe wa kutosha, tuna mbuga. Huu ni utajili wa kutosha kuna nchi hazina hata robo za tulichonacho lakini wana mipangilio na wameendelea. Kuna nchi zimeendelea kwa kilimo tu cha miwa.
Haijalishi uwe na mali kiasi gani ila kama usipoweza kuipangilia basi haiwezi kukusaidia. Tanzania bado ni tajiri sana kwa hayo niliyotaja.
We unadhani nchi hii kama mtu anaweza saini mkataba wa mabilioni ya ela watu wajichotee maliasili zenye thamani za tilioni kisa alipwewa v8 na bilioni 2, hata tungepewa mafuta kama saudia, bado maendeleo ya singe reflect tulicho nacho.Haba na haba 😁😁😁😁 hata kibaba hakijai
Ziko wapi walizojichotea? Onyesha shimo kubwa walipochota..We unadhani nchi hii kama mtu anaweza saini mkataba wa mabilioni ya ela watu wajichotee maliasili zenye thamani za tilioni kisa alipwewa v8 na bilioni 2, hata tungepewa mafuta kama saudia, bado maendeleo ya singe reflect tulicho nacho.
Hii nchi ina kila kitu. Ardhi kubwa, tuna bandari kutokana na bahari, madini ya kila namna sio lazima tuwe top 10. Ni sawa unaweza kuwa unafanya kazi na mtu umemzidi kipato ila ana mipango akaendelea kukuzidi wewe mwenye kipato mara mbili yake.
Chukulia nchi kama singapore, haina hayo yote resources ilizo nazo ni ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, bahari na maeneo yanayovutia watalii.Haba na haba 😁😁😁😁 hata kibaba hakijai
Kweli you only see what your eyes want to see.Ziko wapi walizojichotea? Onyesha shimo kubwa walipochota..
Acheni kujilisha upepo hamna kitu
Ina watu wenye akili ambao Tanzania hawapo..Chukulia nchi kama singapore, haina hayo yote resources ilizo nazo ni ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, bahari na maeneo yanayovutia watalii.
Vitu ambavyo sisi tunavyo na zaidi.
Shida sisi tuna kila kitu hatujui tufanyeje ili tusonge. Na tuna vipaumbele vya muda mfupi.
Ingekuqa tunaanda vipaumbele vya muda mfupi na muda mrefu, labda kufikia mwaka 2040 tuwe na wasomia ambao wameiva kweli sio hawa ambao wamesoma lakini hawawezi kufanya lolote, kwenye masuala ya electronics... Basi serikali inawekeza kweli kwenye elimu mtu akienda shule zina maabara, walimu walimu kweli, wanafunzi wanasoma kwa vitendo, chuo same thing mtu akitoka huko kaiva kweli.
Au wakiamua kuwekeza kwenyw kilimo iwepo roadmap ya miaka hata 30 kwamba baada ya hapo tz ijitosheleze kwa chakula na ilishe nchi za kusini mwa jangwa la sahara. Basi ifanye namna ya kuwa na mashamba kama ya wale wazungu aliowafukuza mgabe.
aliekuwa anaimba kuwa tanzania ni nchi tajiri niyule mzee wa chatoWatanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
hoja zako nyingi nazikubali[emoji106]Ndio Zenye Madini hizo nyie wengine ni wababgaizaji..
Pale Zimbabwe Mchina Katia Mgodi wa Til.4 wa Lithium,Tanzania una Mgodi upi wa thamani hiyo Kwa mfano?
hayo ni maneno ya uongo mala ulipo jengwa uwanja wa ndege kia kuna alimasi uongo mtupuWataalamu wanasema mpaka muda huu Tanzania imeshachima asilima 10% tu ya madini yote, na karibia nchi nzima ina mali kiasi kwamba ukitaka uchimbe kila kitu itabidi uwahamishe watu baadhi ya maeneo. Pale Mwadui zilipo nyumba za mgodi, inasemekena pale kuna mali imetulia
unapo bisha utumie hoja usiwe kama maguSource ya list tajwa kwanza. Siikatai list, ila nakataa Tanzania kuwa si miongoni mwa hiyo list. Wabongo fake sana. Tuseme kwa mfano, Tanzanite ipo kwenye nchi gani nyingine?
Hao watu hawakutokea wakaota kama uyoga, walitengeneza mifumo ya kuwa nao. Hizo resources tulizo nazo, badala ya kutumiaka hovyo zingetumika kutengeneza hiyo mifumo ya kuwapata watu hao.Ina watu wenye akili ambao Tanzania hawapo..
Tukitaka tuendelee lazima pesa zitoke kwenye Utalii,Bandari na transport logistics,fishing, livestock na kilimo tuu..
Huko kwingine ni kupoteza mda.
buzwagi kakolo mara kote huko walisha safisha kwa sasa tz kuna wachimbaji wadogo wadogo wakina msukuma tuHiyo migodi ya Barrick wewe kwako unaona ni Kati ya migodi mikubwa Afrika au Duniani?
Walikuta terms rahisi wakaingia ila mungeweka terms ngumu wangewaachia Bora wakaweke Nguvu wanakoweza chumba miaka 100 na kuendelea.
we uwekezaji gani kandamizi buzwagi mara uriankhuguru nzega mkapa aliwapa makabulu wakichukua asilimia 97 nchi ikichukua 3 mkapa akichukua 1 kwa uwekezaji huu mzungu hawezi kimbia kama dahabu ingekuwepo ya kutoshaHao wamepata data kutokana na export za madini kwa mwaka kwenda nje katika nchi hzo.. sasa hapa bongo uwekezaj ni mdogo sabab ya sheria za kikuda zisizo na msinh.. ndomana wastan wa ku export madin ni mdogo... Wenyew wanakwambia bora yaozee chini.
kawenchi nchi 10 zenye amadini mengi afirika kinyime na wanasiasa wanavio imba kuwa tz ndio nchi yenye madini mengi duniani hata magufuli alikuwa akiimba wimbo huoaShuleni kwenu ulifundishwa kwamba namba huishia kumi(10)tu?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Unaelewa maana ya top 10? Kwa taarifa Yako hata top 20 Tanzania haimo.
Kwa hilo inabidi mtoa mada afanye upya homework yake.Hapo ni nchi zenye deposit kubwa ya madini mbalimbali