Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

Katika hiyo orodha Botswana haipo jee ni maskini wale?
 
Hii list sio sawa, huwezi kuiweka Congo number 8 chini ya Libya na Egypt!
 
Katika hili mzee naomba tuache siasa za makinikia. Sijasomea lakini nina uelewa wa kutosha; tufanyeni siasa kwenye mambo mengine ila siyo kayyika hili
Hakuna siasa hapa, naiongelea fani yangu. Fani iliyonifanya nifanye kazi kwenye mabara yote Duniani.
 
Hizo taarifa ni za uongo labda useme madini yaliyochimbwa.
Lakini nchi ya kwanza KWA utajiri wa madini ni congo ya pili ni Tanzania
Huelewi chochote kwenye hii industry.
 
Hakuna siasa hapa, naiongelea fani yangu. Fani iliyonifanya nifanye kazi kwenye mabara yote Duniani.
Nina wasiwasi kuna Bara moja ambalo bado hujafanya kazi; Bara la Afrika
 
Achana na story za kijamaa kijiweni kahawani na kuimbishwa na politicianz, leta data hapa bring geological arguments
 
Mimi naona mnabishana bure maana hii ni list ya top producer wa madini na sio deposits kubwa ya madini..

Mfano congo anaweza kuwa anaongoza kwa deposits kubwa ya madini ila production itiwe kubwa sababu mbalimbali.. ni sawa na kwetu pia.
 
Hata deposits Tanzania haimo,ni hao hao hapo Juu
 
Hata deposits Tanzania haimo,ni hao hao hapo Juu
Una akili sana wewe sehemu yenye madini ya kutosha hujinyesha yenyewe hata watu wanaopatikana huko hawana shida.Mfano Zambia Hospitali matibabu ni bure kwa sababu Serikali inakuwa na pesa kutokana na shaba inayotoka Copper Belt kuhudumia nchi nzima tofauti na sisi wanaonufaika angalau kidogo na madini ni serikali inayokusanya kodi na baadhi ya matajiri lakini raia hamna kitu wanafaidika na madini.
 
Mimi naona mnabishana bure maana hii ni list ya top producer wa madini na sio deposits kubwa ya madini..

Mfano congo anaweza kuwa anaongoza kwa deposits kubwa ya madini ila production itiwe kubwa sababu mbalimbali.. ni sawa na kwetu pia.
DR sio mwenzako
 
Kamba
 
Kuna tofauti kati ya mineral rich na mineral producing wording😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…