Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

Barrick na resolute,ggm wanatumia sululu!?..na kule songosongo yanatumika masululu pia!?..umetahiriwa!?
Hiyo migodi ya Barrick wewe kwako unaona ni Kati ya migodi mikubwa Afrika au Duniani?

Walikuta terms rahisi wakaingia ila mungeweka terms ngumu wangewaachia Bora wakaweke Nguvu wanakoweza chuma miaka 100 na kuendelea.
 
Hao wamepata data kutokana na export za madini kwa mwaka kwenda nje katika nchi hzo.. sasa hapa bongo uwekezaj ni mdogo sabab ya sheria za kikuda zisizo na msinh.. ndomana wastan wa ku export madin ni mdogo... Wenyew wanakwambia bora yaozee chini.
 
Hao wamepata data kutokana na export za madini kwa mwaka kwenda nje katika nchi hzo.. sasa hapa bongo uwekezaj ni mdogo sabab ya sheria za kikuda zisizo na msinh.. ndomana wastan wa ku export madin ni mdogo... Wenyew wanakwambia bora yaozee chini.
😁😁😁😁 Uwekezaji ni mdogo Sasa Kwa nini wasiwekeze kama Kuna Madini ya kutosha?

Tanzania inaweza izidi nini Nchi kama Gabon? Ukiacha mafuta,almasi nk Kuna timber industry ya kufa mtu.
 
Gesi ni madini wewe kilaza??
Congo Ina Madini ila sio kuzizidi hizo Nchi tajwa..

Algeria ndio Ina gas asilia nyingi kushinda Nchi zote hapa Afrika na inafanya utaratibu wa kulisha Ulaya, yaani Iko top 10 ya Dunia.

Sasa Congo itaisidi nini Nigeria? Copper na Cobalt au?
 
Shuleni kwenu ulifundishwa kwamba namba huishia kumi(10)tu?
 
Kama na Congo imeponea chupuchupu kuwepo kwenye list halafu bado uniambie niiamini hiyo data
Kama na Congo imeponea chupuchupu kuwepo kwenye list halafu bado uniambie niiamini hiyo data


Fake


Hata Uganda Hapo na ninavyojua

Madini ni hazina nchi zinahifadhi for future
 
Nadhani hapa tunazidiwa na wingi wa deposits, lakini kwa varieties za madini sisi tunazo nyingi, na pia huenda madini yetu yametawanyika sana kama ni dhahabu haipatikani kwa wingi kwenye eneo moja, na hiyo kwa gharama za uchimbaji haileti tija sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada unatetea kitu usicho kijua wao wanasema top 10 ya nchi zinazo zalisha madini
kuna tofauti kati ya kuwanacho na kuzalisha Congo inamadini mengi ila uzalishaji ndio hafifu na unajua kabisa tatizo ni ukanda wenye madini ndio unamigogoro yakimapigano

Hiyo naomba uichukulie kama Mfano na kwanchi nyingine
 
Sasa deposits ndio kitu Cha maana,Sasa hata Ukiwa na varieties ambazo sio commercial inakusaidia nini?

Unaweza kusanya varieties zako zoote lakini usifikie thamani ya aina Moja tuu ya Madini ya mwenzio Sasa hiyo ni kama huna kitu unabangaiza tuu.
 
kajiongeze bwanamdogo, kwa upumbavu wako huo utadanganywa na kila mtu.
 
Congo hujaiona kwenye top 10?

Tanzania ina Madini yapii yenye deposits kubwa ya kuingia kwenye List? Ukiacha uzalishaji? Utazilisha ambacho huna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…