ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
Hao mbumbumbu hawaelewi kitu..Tanzanite ni vanadiferous sapphire. Sapphire zisizo na vanadium zipo kwenye mataifa mengi. Hii yenye vanadium ipo Tanzania tu, lakini ni kiasi kidogo sana katika thamani. Na ufahamu kuwa tanzanite ni jiwe la mapambo, ndiyo maana huwezi kusikia kampuni kubwa zinaenda kuchimba tanzanite, ruby, sapphire, tourmaline au amethyst. Hiyo tanzanite huwezi kulinganisha na madini kama cobalt katika thamani, yanayochimbwa DRC. Gemstone inayochimbwa na makampuni makubwa ni diamond tu, hasa kwa sababu hata ile isiyo gem quality bado inatumika, tofauti na gemstones nyingine.
Waambie wakupe kampuni iliyowekeza Til.10 kama hii hapa ya Zimbabwe kwenye platinum