Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

Hao mbumbumbu hawaelewi kitu..

Waambie wakupe kampuni iliyowekeza Til.10 kama hii hapa ya Zimbabwe kwenye platinum
 
Hapo ametaja Madini yani Dhahabu tu,ukiunganisha rasilimali zote Congo ndie namba 1 ila kwa dhabau kuna Nchi nyingi tu zinampita.
Rasilimali zote labda apart from Madini ila kama ni Madini inapitwa na Nchi nyingi sana..

Angola na Zimbabwe Zina Madini mengi na yenye reserves za kutosha kuliko hao DR Congo.
Diamond hii hapa 👇
 
Bora hata tusiwepo itakuwa nafuu kwetu
 
Nyie hombolo si mnawa Australia na wachina janjajanja kwenye lithium

Ova
Ni wale wababaishaji hamna kitu hapo.

Hata graphite Iko Ngara na Lindi lakini uwekezaji wake Kwa pamoja ni chini ya bil.500 Kwa sababu mali ni kiduchu.

Imagine Madini yoote Kwa pamoja yanaingiza bil.700 tuu serikali,Sasa utajiita mining economy?

Tanzania tuna viongozi wajinga ila wangekuwa qanajitambua tungekomaa na livestock,Utalii, transport logistics,Kilimo,fishing na bidhaa za misitu kama Nyuki sio kuhangaika na ndoto ambazo hazipo.
 
Wewe ndio hujaelewa kwani attachment haijielezi?
 
Kwani kwenye mtihani ukishika nafasi ya 10 ukiwa umescore maksi 91% ni matokeo mabaya?
 
No. Tupo top 20
Burundi hapo Wana aina Fulani ya Madini ya rare metals inaweza kuwepo top 10 ya Dunia Kwa reserves Yao sema political instability imesababisha wasipate investors wakubwa.
 
Na sio kwenye dhahabu,hata ukijumuisha deposts ya resources zote bado hatupo top 10.
Walau Madini yenye tunayo kidogo yanaweza chukua miaka hata 100 ni makaa ya mawe,chuma na gas ila gas hapana maana wanasema gas yetu inaweza kufikisha Germany Kwa miaka 40 tuu so mpaka hapo hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…