Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?
Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo
1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.
Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.
Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?
"Mineral producing" (nchi zinazachimba madini mengi) na "mineral deposits" (nchi zenye utajiri mwingi wa madini) ni vitu viwili tofauti kabisa. Shule husidia sana mtu kuelewa maana ya yanayosomwa. Ungeleta hapa data za nchi zenye mineral deposists nyingi, siyo zinazochima. Nchi zenye kuchima mafuta wao huchimba kila siku kwa hiyo watakuwa wanachima mengin sana kwa mwaka. Elewa kuwa hata mafuta ni sehemu ya minerals.