Top 10 ya Nchi Zinazoongoza Kuzalisha Dhahabu Afrika

Top 10 ya Nchi Zinazoongoza Kuzalisha Dhahabu Afrika

Ila Tanzania ndiyo pekee Afrika imeendeleza miji na vijiji vinavyozunguka dhahabu hiyo na wananchi wake wanaishi kwa Amani na furaha kwa kuwa na huduma Bora kabisa za Maji, Barabara, Hospitali, umeme, na nyumba za ghorofa mahekalu na wanavijiji wanamiliki G-Wagon na Vogue
 
kwenye world bank mna akiba ya dhahabu kiasi gani?
Tuko vizuri zaidi ya hao wote Tanzania moja ya nchi 10 zinazohifadhi dhahabu nyingi Benki Kuu | Mwananchi https://share.google/TG0UK4Q17TLaHZCiu
Screenshot_20260129-113448.jpg
 
Ila Tanzania ndiyo pekee Afrika imeendeleza miji na vijiji vinavyozunguka dhahabu hiyo na wananchi wake wanaishi kwa Amani na furaha kwa kuwa na huduma Bora kabisa za Maji, Barabara, Hospitali, umeme, na nyumba za ghorofa mahekalu na wanavijiji wanamiliki G-Wagon na Vogue
Chunya kumejaa dhahabu ila wananchi wake hawajawahi kuona maji ya bomba toka wanazaliwa. Ukifika ule mji unaweza sema wananchi wastaarabu hawatiririshi maji machafu, kumbe hawana maji😁
 
Back
Top Bottom