ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Bank of England ndiyo inahifadhi dhahabu ya Tanzania, tunamiliki dhahabu yenye thamani zaidi ya Trilioni Moja USDkwenye world bank mna akiba ya dhahabu kiasi gani?
Tuko vizuri zaidi ya hao wote Tanzania moja ya nchi 10 zinazohifadhi dhahabu nyingi Benki Kuu | Mwananchi https://share.google/TG0UK4Q17TLaHZCiukwenye world bank mna akiba ya dhahabu kiasi gani?
Chunya kumejaa dhahabu ila wananchi wake hawajawahi kuona maji ya bomba toka wanazaliwa. Ukifika ule mji unaweza sema wananchi wastaarabu hawatiririshi maji machafu, kumbe hawana maji😁Ila Tanzania ndiyo pekee Afrika imeendeleza miji na vijiji vinavyozunguka dhahabu hiyo na wananchi wake wanaishi kwa Amani na furaha kwa kuwa na huduma Bora kabisa za Maji, Barabara, Hospitali, umeme, na nyumba za ghorofa mahekalu na wanavijiji wanamiliki G-Wagon na Vogue
Huku ni Kizimkazi?Chunya kumejaa dhahabu ila wananchi wake hawajawahi kuona maji ya bomba toka wanazaliwa. Ukifika ule mji unaweza sema wananchi wastaarabu hawatiririshi maji machafu, kumbe hawana maji😁
naijua dola trilioni moja?Bank of England ndiyo inahifadhi dhahabu ya Tanzania, tunamiliki dhahabu yenye thamani zaidi ya Trilioni Moja USD
Visima vya hivyo vipo miaka mingi. Ukienda kuunga bomba hapo watu watakucheka sana.