Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
 
Aisee mpka Medical 🙌🙌🙌🙌
 
Jo

Tasnia ya habari katika nchi hii iliishakufa rasmi kutokana na waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari kukubali kuwekwa mfukoni na watawala.

Kuna waandishi wachache sana kama Dotto Bulembo ambao bado wanasimamia misingi ya habari lakini hawana majukwaa ya kufanyia uanahabari.

Labda miaka ya mbele watokee watu wa kuifufua tasnia ya habari lakini kwa sasa Tangabyika hakuna vyombo vya habari.

Hivyo mtu akisomea journalism kupata kazi ni vigumu.
 
Back
Top Bottom