Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

COMMUNICATIONS NA JOURNALISM ni nzuri sana kwa sababu wapo wengi waliokosa ajira ila wamejiajiri kwenye kada za designing, editing, photoshoot, video production na freelancing journalism ikiwa mhitimu wa kozi hizo hayupo kwenye shughuli yoyote kati ya hizo basi ni mvivu na alienda chuo kupoteza muda.
 
Hapo kozi kichaa ni 9. Biology, 8. Political science, 4. Communications 3. Liberal arts 2. Sociology 1. Journalism. Nyingine zote umezionea, ukijichanganya vizuri ulimwenguni haukwami unatoboa. Ni kujiongeza tu.
Kuna ku breaking the cycle mkuu 😊 hizo degree zoteee Mimi naona zoteee Ni NZURII Sanaa

SEMA kwa anae tafuta white collar jobs ili akakalie kiti ofsin na kiyoyozi kwa sasa dunia imebadirika Sanaa

Kuna kukariri notes na kusoma unaweza kusoma chochote na bado ukatoboa maishani & vice versa is true..
 
Kuna ku breaking the cycle mkuu 😊 hizo degree zoteee Mimi naona zoteee Ni NZURII Sanaa

SEMA kwa anae tafuta white collar jobs na akakalie kiti ofsin dunia imebadirika Sanaa

Kuna kukariri notes na kusoma unaweza kusoma chochote na bado ukatoboa maishani & vice versa is true..
Mkuu nimekuelewa vizuri, mimi binafsi naamini elimu ya kwanza muhimu ni kusoma na kuandika tu. Mengine ni nyongeza. Hii dunia inahitaji kufikiri nje ya box, mifumo mingi ya kielimu inawajenga watu wawe watumwa maisha yao yote.
 
Ni kweli na inawachukua muda mrefu Sana watu kuja kuelewa..

Mfano mtu unamsomesha ualimu wa sanaa na anakua anaamin ataajiriwa serikalini mwisho wa siku ajira hakunaa lazima utam frastuate Maisha yake

NB.
Exposure Ni muhimu Sanaa kwa vijana wetu Kuna madogo wengi kariakoo Ni mawinga na baadhi mpaka wameweza kuanzisha biashara zao

Tanzania ndio ichi ambayo MTU anatoka India na Pakistan akiwa maskini wa kutupwa after ten years anakua tajiri sisi wenye nchi na fursa kibao tumekaa na tumebweteka..
 
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
Mtu wa marketing mtoe ajira kujiajiri anaweza
 
Nimegraduate SAUT mwaka 2022 nilikuwa nachukua B.A IN SOCIOLOGY, 2023 nikapata kazi TAA kitengo cha usalama as Asst. Security officer.. nipo songwe airport hapa nakula maisha.

Ajira zipo sema ni vile vijana wenye GPA kubwa hamjui kuchangamkia fulsa😃
 
Sio fulsa ni fursa.....kwahiyo ww ni security guard?
 
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
ajira bahati tu mm namjua mtu kamaliza io bsc biology 2022 n 2023 kaajiriwa tena serikalin na hawakuw na connection
 
Back
Top Bottom