Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Imekupa Maisha gani Wewe leo ukidondoka watu wataanza kuomba Picha yakoUnajutaje kusoma Marketing!!
Hii course mimi imenipa maisha;watu wana Biashara lakini hawajui jinsi ya kutafuta masoko,kufanya utafiti wa kimasoko,kuunda na kulinda Brand zao nk.Shida Watanzania wengi hasa graduates wana mindsets za kuajiriwa sana!!!