Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
duh aisee, hatari sana.
Mnasoma sana hata msipotakiwa kusoma.
Serikali imewekeza kwenye elimu ambazo hazisaidii watu matokeo yake vijana wote wapo hapahapa halafu tunalalamikia dollar hakuna.
Phillipines, Indonesians, Indians, Pakistans nk wamesomea sana vyuma hasa elimu ya utendaji zaidi matokeo yake wamejaa kwenye mameli, marig ya mafuta na migodi worldwide kama cheap labor inreturn wanapeleka sana dollar na uchumi nyumbani.
Kenyans, Nigerians na Ghanania ni mfano kwa Africa pia.