Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Inategemea Mimi nimewahi kufanya kazi serikalini kwa kutumia cheti cha form four tu so Elimu inaweza kukupa shavu kipindi ambacho wewe haujui.
 
Bongo mfumo wa ajira ni mbovu kwaiyo hakuna shahada yenye afadhari waasibu, madokta, mainjinia ambao ni majobless wapo kibao mtaani. Bongo kama hauna connection basi uwe competence sana kwenye field yako yaani wewe tangu upo olevel ulikua unapiga A tu darasani tena kwa akili yako sio kwa chabo vinginevyo shahada yoyote utakayosomea utajuta tu uko mbeleni.
Bongo NYOSO
 
Huu ndo ukweli

Kuna watu wamesoma science Ila 0-0 hadi Leo

Then elimu yetu bado IPO nyuma sana

Ukipata soft Skills unakosa hard skills na ukipata hard skills unakosa soft skills
 
Kwa kutumia kigezo cha BABA KASEMA au SIO?

Hamna mkuu , Mimi mkuu kwenye upande wa kufanya kazi na kutoa matokeo Mungu kanibariki Sana.

Nina soft skills kubwa Sana ,so fursa ilihitaji degree na masters Ila kwenye interview nikapata nafasi kwa kujibu maswali vizuri.

Huu ndo ukweli mkuu ikiwa hauna hard skills jitahidi uwe na soft skills.

Elimu ya chuo imekosa icho kitu muhimu.
 
Huu ndo ukweli

Kuna watu wamesoma science Ila 0-0 hadi Leo

Then elimu yetu bado IPO nyuma sana

Ukipata soft Skills unakosa hard skills na ukipata hard skills unakosa soft skills
Mimi kabla sijaenda Chuo nilikua nawafundisha wadau wapo degree 1st year, 2nd year na 3rd year, usiniulize nina knowledge gani
 
Hamna mkuu , Mimi mkuu kwenye upande wa kufanya kazi na kutoa matokeo Mungu kanibariki Sana.

Nina soft skills kubwa Sana ,so fursa ilihitaji degree na masters Ila kwenye interview nikapata nafasi kwa kujibu maswali vizuri.

Huu ndo ukweli mkuu ikiwa hauna hard skills jitahidi uwe na soft skills.

Elimu ya chuo imekosa icho kitu muhimu.
Usituchote Akili BABA KASEMA tunawajua wewe una cheti cha form 4 ukafanye kazi ya mtu wa Masters hio OFISI au kituko, usituone Sisi mazuzu
 
AMO? Zamani walikuwa wanapata kazi. Siku hizi wasomi ni wengi.
Mkuu siyo zamani hizi course za clinical assistants, medical assistants, medical labs, na nyinginezo zina soko sana Ujerumani na nchi nyingine za ulaya. Tatizo watanzania ni wawivu sana hata wa kutafuta fursa za nje. Wenzetu wakenya ndio wanaopata hizo michongo. Pia wazazi wengi wanaogopa kuwaacha vijana kwendq huko ng'ambo kwa kusema wataharibikiwa. Asipoharibikia ulaya ataharibikia hapa hapa...tuacheni vijana wakajitafute huko duniani.
 
Usituchote Akili BABA KASEMA tunawajua wewe una cheti cha form 4 ukafanye kazi ya mtu wa Masters hio OFISI au kituko, usituone Sisi mazuzu

Sasa hizi masters za sociology na degree za BAED au BSED unazichukilia serious kiasi kwamba MTU anayejisonea vutabu ashindwe kufanya Kazi zao.

Kazi nyingi zinaangalia uelewa wa MTU mkuu
 
Form 4 ukafanye kazi ya mtu wa Masters anaehitajika ni engineer, wewe form 4 hata Archimedes principles tu HUJUI inafanyaje kazi HIO Ofisi inakupa kazi MKURUGENZI kilaza?
 
Elimu ya Bongo kinachowacost graduates wengi ni creativity wanapoingia sekta binafsi kusaka ajira.
Hapa wizara ya elimu ijitafakari.
 
Form 4 ukafanye kazi ya mtu wa Masters anaehitajika ni engineer, wewe form 4 hata Archimedes principles tu HUJUI inafanyaje kazi HIO Ofisi inakupa kazi MKURUGENZI kilaza?

Kazini wanataka matokeo tu mkuu Mimi nimekwambia ukweli

Ajira yangu ya kwanza niliipata kupitia cheti cha form four
 
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.

Unajutaje kusoma Marketing!!
Hii course mimi imenipa maisha;watu wana Biashara lakini hawajui jinsi ya kutafuta masoko,kufanya utafiti wa kimasoko,kuunda na kulinda Brand zao nk.Shida Watanzania wengi hasa graduates wana mindsets za kuajiriwa sana!!!
 
Back
Top Bottom