Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Aisee mpka Medical ๐๐๐๐Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.
10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)
9. Biology Degree (BSc not BED)
8. Political Science
7. Medical and clinical assistants
6. Marketing
5. Bachelors of Education
4. Communications Degree
3. Liberal Arts
2. Sociology
1. Journalism
Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
Hawa watu kazi zao zinashosha, nahic ndo maana wapo kweny hii listMedical and clinical assistants
Hao ni assistants, sana sana certificate, kazi zao zinashosha sana ndo maana wakipata upenyo wanaenda kusoma kuongeza elimu ili wasiwe wanaburuza vitanda vya wagonjwa.Aisee mpka Medical ๐๐๐๐
Tasnia ya habari katika nchi hii iliishakufa rasmi kutokana na waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari kukubali kuwekwa mfukoni na watawala.Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.
10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)
9. Biology Degree (BSc not BED)
8. Political Science
7. Medical and clinical assistants
6. Marketing
5. Bachelors of Education
4. Communications Degree
3. Liberal Arts
2. Sociology
1. Journalism
Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
Assistants, unawajua??Aisee mpka Medical ๐๐๐๐
Clinical officers orAssistants, unawajua??
๐๐๐ hapana, CO sio assistantClinical officers or
๐น๐น๐น๐น๐นAMOs๐๐๐ hapana, CO sio assistant
Kozi ya uchawa ingeongezwa tungejikwamua kwenye wimbi la umaskini kabisa .We ukitaka kupiga pesa somea cooking
Senior Lecturer MwinjakuKozi ya uchawa ingeongezwa tungejikwamua kwenye wimbi la umaskini kabisa .
Si Political Science ipo mbona Ina tumaarifa twa uchawa chawaKozi ya uchawa ingeongezwa tungejikwamua kwenye wimbi la umaskini kabisa .
Wangeipa jina la uchawa ingefana zaidi ndugu mheshimiwa๐.Si Political Science ipo mbona Ina tumaarifa twa uchawa chawa
AMO? Zamani walikuwa wanapata kazi. Siku hizi wasomi ni wengi.Assistants, unawajua??