Top 20 most developed countries in Africa in 2018

Hivi unajua kwenye population mnatuzidi watu milioni tano pekee, wacha kutafuta pa kutokea.
Ha ha haa... Ila kiukweli Tanzania ina population kubwa sana, ukiondoa Nigeria na Ethiopia hakuna nchi inatugusa, ile data ya population inayosemwa ilichakachuliwa (ilipikwa) na serikali ya Kikwete kwa sababu ya kutimiza masharti ya wanaotupa misaada. Watz tunazaana sana...
 
Uchumi wa Tanzania ni mkubwa mno hapa JF lakini kwa vipimo halali vya dunia wanacheza ligi ya kina Burundi, Central African Republic (CAR), DRC, Burkina Faso, Mali, Niger na usisahau hizo Nchi hazijui AMANI zipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu kupata Uhuru. What is wrong with our Southern Neighbor hata wakashindwa na landlocked Zambia inayowategemea bandarini?

I think Tz needs to be re-invaded and recolonized again for them to catch up with the rest of the world, bado wako in the dark ages.
 

Hehehehe mheshimiwa alisema mfyatue tu, atasomesha.
 

Hao hata colonization won't save them, remember they are the only country that was colonized by two major powers, Germans then Britons.
 
Hao hata colonization won't save them, remember they are the only country that was colonized by two major powers, Germans then Britons.
Slavery should be the last resort.
 
Duh..they suffered far much during slavery....read about the history of Bagamoyo, so that didn't help them either..
Probably the Ottomans will do something positive this time round.
 
Hao hata colonization won't save them, remember they are the only country that was colonized by two major powers, Germans then Britons.
And that was the major setback of our country in terms of development. I think if German could have won WW1 and colonize this country until independence we would have been very far by now.

The Germans had plans for Tanganyika but the Englishmen messed them up. German colonized Tanganyika for few years but they did a tremendous job compared to the longest period (40+years ) under the British rule.

After independence we embraced pan africanism. We used much of our resources to liberate other African countries which were still under colonialism. I don't blame Nyerere but the people he helped are mocking us now. The Ujamaa policy was good but we all know how it ended. Nyerere being the man he was he stepped aside to let others correct his failures. The others that followed have led us where we are now.

Apart from bad governance Tanzania also suffers from its historical background. In order to move forward we have to work hard and set our priorities but nobody gives a damn about that. Everyone comes with his own priorities. The fact that we haven't been able to move forward saddens me. May be Magu will lead us to the promised land of honey and milk. Of course I voted for him because he at least spoke the truth.

Samahani jirani kwa barua ndefu kama hii , hahaaaaaaa
 
Afrika bara lenye umaskini sana, halafu itokee nchi yako inakosa kuwepo ndani 20 bora Afrika halafu unakesha humu ukitupatia blah blah basi umerogwa. Wale jamaa wa Lumumba street mambo kama haya huyapita kimya.
Lumumba tupo sana hapa ndani. Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Hao wengine nadhani wanaisoma namba, usicheze kabisa na uncle Magu
 
Tz kwanza hata tukisema muwekwe kwa list in the category of huge populations bado mtavuta mkia. First of all mko LDC, na population ndogo as compared to the rest. Pambaneni na hali yenyu, this is serious.
Na vinchi vya 2million people, eish, Bora kukosekana.
 
Ethiopia was never colonized yet they are working hard, Hata wakitupita in future, they truely deserved it. Tz on the other hand,
*They were colonised.
*They have a big fertile land.
*They have a big population.
*They have a long coast line.
*Have major tourist attractions
*They have minerals
* Have no drought
*Have more neighbors.
*Are the most peaceful country.
*Low corruption.
#Infact they are the most advantageous nation in East,North and Central Africa more advantageous than Egypt yet they can still afford to be an LDC country. HOW! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] LOL.
 
Tz kwanza hata tukisema muwekwe kwa list in the category of huge populations bado mtavuta mkia. First of all mko LDC, na population ndogo as compared to the rest. Pambaneni na hali yenyu, this is serious.
Mnapitwa na Congo Brazzaville???
 
Mnapitwa na Congo Brazzaville???
Tumia ubongo Mkuu, kwa hiyo list hampo kama vile Somalia na South Sudan
Walilogwa na mchawi akafa na tiba...Tz is a walking dead Nation.
 
The walking Dead Nation.[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumia ubongo Mkuu, kwa hiyo list hampo kama vile Somalia na South Sudan


Walilogwa na mchawi akafa na tiba...Tz is a walking dead Nation.
 
You are spacial. And mature. It costs nothing to be open minded. If only the rest of you could be reasoning like you then your country could be far ahead.
 
Hivi unajua kwenye population mnatuzidi watu milioni tano pekee, wacha kutafuta pa kutokea.
Isitoshe, raslimali wanazo hata kushinda SA.

Tanzania- in terms of idadi ya watu, ni nchi ndogo tu!

Apart from south Africa ,nchi zote hapo zinapopulation ndogondogo tu (Kwenye list hiyo huwezi ikuta Nigeria, tz ,Ethiopia
 
Lakini Tanzania ina population ndogo sana ukilinganisha na ukubwa wa nchi yenyewe. Tanzania ni kubwa hata zaidi ya Nigeria! Kiukweli.

Halafu, sio kweli ya kwamba Nigeria na Ethiopia tu ndio zimezidi Tanzania kwa idadi ya watu. DRC, SA, Egypt zina watu wengi kushinda TZ.
 
Isitoshe, raslimali wanazo hata kushinda SA.

Tanzania- in terms of idadi ya watu, ni nchi ndogo tu!
Hata nyie mnarasilimali nyingi kuliko Mauritius na Seychelles lakini mnapumilia mashine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…