Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HatersKenya nchi ya kifisadi,ilikua ikishindana na nigeria huko nyuma,hakuna tourism wala financial services za kuifanya kuwa vibrant economically,hao wezi ndiyo wanawekeza nairobi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatersKenya nchi ya kifisadi,ilikua ikishindana na nigeria huko nyuma,hakuna tourism wala financial services za kuifanya kuwa vibrant economically,hao wezi ndiyo wanawekeza nairobi
Kioo halisi cha wakazi wa Dar es Salaam ni wakazi wa maeneo yapi?Kwani Kibera iko wapi Kenya kama sio Nairobi?
Maisha ya Kibera (uchafu, umaskini wa kupindukia, uhalifu, magonjwa, makazi duni) ndio kioo halisi cha maisha ya wakazi wa Nairobi.
Hating kenya, what for!?Haters
Unabisha alafu fact huna kisha unamuambia aliekuletea atafute zingine ili alete unazotaka weweMkuu,
Tafuta chanzo upya, haiwezekani kigali wakawazidi number of millionea Nairobi
Halisi maana yake nini!?..dar kuna sehemu kubwa makazi yanafanana,magomeni,kimara,kinondoni,tabata yote,ubungo,temeke,kigamboni,sinza,halafu kuna tandika,mbagala,tegeta,chanika,manzeseKioo halisi cha wakazi wa Dar es Salaam ni wakazi wa maeneo yapi?
Mzunguko wa Fedha ndio vyanzo vikuu vya kutengeneza ma milionair Hapa Tz tu Dollar zimeharibia mzunguko ni taabani mtu hadi ukusanye Dollar ndio usafiri unazungua beauro de change kukusanya Dollar 50 na mia hadi ufikishe Dollar elfu 20 na zaidi ukafuate mzigo...Hakuna tofauti kubwa sana katika mzunguko wa hela kati ya Nairobi na Dar...
Kenya nachoipendea ni mfumo wao wa lipa kwa Mpesa uko advanced kiasi kwamba unaweza ishi mwaka mzima hujashika cash ..
Ila mambo mengine Nairobi is like any other African city. Politicians na wezi huko serikalini ndo wana hela...wananchi wengi bado ni maskini sana...
Wasomali ni wengi pia. Wanaiba huko kwao na kuinvest kenya
Unazo data za financial services zao unazosema haziwezi kuifanya nchi iwe vibrant economically?Kenya nchi ya kifisadi,ilikua ikishindana na nigeria huko nyuma,hakuna tourism wala financial services za kuifanya kuwa vibrant economically,hao wezi ndiyo wanawekeza nairobi
Wew ndio livivu,Unabisha alafu fact huna kisha unamuambia aliekuletea atafute zingine ili alete unazotaka wewe
Maana akileta izo izo utabisha tena
We ni livivu utakua bonge
Sijakataa nairobi kuwa na mabilionea wengi kuliko kigali bali nimesema hakuna uchumi wa kuifanya nairobi kuwa na mabilionea wengi zaidi ya ufisadi, biashara hapo nyingi utakuta ziko affiliated na vigogo wa serikali,kuna mtu alikua mtumishi wa umma na ana arfhi marekani ambapo kampuni za mawasiliano zimesimika minara,mwanae wa kiume alipompa pesa akakodi kenya airways akapanda na rafiki zake na kufanya ngono a gani wakilewa, government officials anatoa wapi hiyo pesa!?Unazo data za financial services zao unazosema haziwezi kuifanya nchi iwe vibrant economically?
Banking industry ya Kenya unaijua? Unazijua KCB, Equity Bank na NCBA Bank ambazo ni za wazawa? Unazilinganisha na benki gani pale Kigali. Hata benki za nje zenye matawi Kenya kama Stanbic na ABSA unazilinganisha na nini hapo Kigali.
Au kwenye mawasiliano Kigali wana nini cha kufikia walau robo ya Safaricom.
Kwenye tourism Kigali inaizidi vipi Nairobi. Na bado hujataja kitu kingine, kwenye viwanda Nairobi inaipita mbali Kigali.
Huna sector au industry yoyote ya kutudanganya hapa kwamba Kigali ina mabilionea zaidi ya Nairobi.
Tufanye Rwanda hakuna mafisadi, hao ambao sio mafisadi hawajazuiliwa kuwa mabilionea.Sijakataa nairobi kuwa na mabilionea wengi kuliko kigali bali nimesema hakuna uchumi wa kuifanya nairobi kuwa na mabilionea wengi zaidi ya ufisadi, biashara hapo nyingi utakuta ziko affiliated na vigogo wa serikali,kuna mtu alikua mtumishi wa umma na ana arfhi marekani ambapo kampuni za mawasiliano zimesimika minara,mwanae wa kiume alipompa pesa akakodi kenya airways akapanda na rafiki zake na kufanya ngono a gani wakilewa, government officials anatoa wapi hiyo pesa!?
Hatari itabidi nifikeJohannesberg the wealthest city in Africa.
Joburg has larger economy more than kenya and tz combined
You corrupt upstairsTufanye Rwanda hakuna mafisadi, hao ambao sio mafisadi hawajazuiliwa kuwa mabilionea.
Na hao wawekezaji mafisadi wa Kenya bado wataitwa mabilionea haijalishi wamezipataje. Hata Uingereza iliiba madini India na kukoloni na kunyonya almost robo ya dunia, ila haijawahi ondolewa kwenye list ya nchi kubwa kiuchumi kisa uchumi iliupata kwa wizi.
Suala hapa ni wapi kuna billionaires wengi kati ya Kigali na Nairobi. Likija suala la wapi hakuna mafisadi wengi tutaitaja Kigali.
Kivipi?Kwamba Nairobi inazidiwa idadi ya Millionea na Rwanda kigali?
Haupo serious mkuu
dasa LamaTop 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD
1)- Johannesburg 🇿🇦12,300
2)-Cape Town 🇿🇦7,400
3)- Cairo 🇪🇬7,200
4)- Nairobi 4,400
5)- Lagos 🇳🇬 4,200
6)- Cape Winelands (region) 🇿🇦3,600
7)- Durban, Umhlanga & Ballito 🇿🇦3,500
8)-The Garden Route (region) 🇿🇦3,200
9)- Casablanca 🇲🇦2,800
10)- Pretoria 🇿🇦2,100
11)- Accra 🇬🇭 1,900
12)- Luanda 🇦🇴1,500
13)- Marrakech 🇲🇦1,400
14)+ The Whale Coast (region) 🇿🇦1,200
15)- Windhoek 🇳🇦1,200
16)-Dar Es Salaam 🇹🇿1,200
17)- Tangier 🇲🇦 1,000
18)-Algiers 🇩🇿1,000
19)- Grand Baie 🇲🇺900
20)- Kigali 🇷🇼 800
Source: New World Wealth
Mkuu kama bado unauhitaji na dola tafadhali nicheki asapMzunguko wa Fedha ndio vyanzo vikuu vya kutengeneza ma milionair Hapa Tz tu Dollar zimeharibia mzunguko ni taabani mtu hadi ukusanye Dollar ndio usafiri unazungua beauro de change kukusanya Dollar 50 na mia hadi ufikishe Dollar elfu 20 na zaidi ukafuate mzigo...
Kenya yah Mfumo wa Mpesa upo vizuri even Tanzania ulikuwa poa ila baada ya lile jamaa ungu kuleta mswaada wa kuongeza ya kutolea na ya kutuma kitu kikakwama..
Kenya yes even muuza machungwa,ndizi,Uji special, Matatu unalipa tu kwa m-pesa hata kama ni 5 Bob! even kuchange Kshs ni 21 ila ukiwa Tz Kuuza Kshs unauza kwa 18 yaani Tz wizi wizi tu..
Wasomali yes ni wengi sana na wana maisha mazuri mno.. Appartments za Westland wamejazana hadi wana Masjidi kubwa sana na nzuri... Wahindi nao wana pesa sana.. politicians too. Wasomali wa Mash nao pesa imejaa na Maji yao Mash Poa.. kuna Mall ukiingia unapotea uliingilia wapi. Sema Wasomali wamejaa sio Nairobi tu mimi kote nimewakuta Nakuru,Mombasa,Kisumu n.k wale ni Watafuta pesa
Kenya magari mengi ni brand news wenye yeard wamejaza magari na yananunuliwa.. wawekezaji wamejaa..
Yeard ya ma buldozzer ni kubwa zimesambaa zinasubiri wanunuzi.