Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Inawezekana mkuu sema pelle na maradona sikuwaona zaidi ya clips tu , Dr lima siwezi kumtoa asee!!!! ni striker aliyekamilika kwa kila kitu amewatesa sana mabeki na makipa . Gaucho japo hajakaa sana kwenye game lakini alifanya soka liwe tamu kwangu kuwatoa ni ngumu sana😁😁😁😁Namba 2 na 4 hawapaswi kuwepo hata 10 bora...unamwachaje Maradona na Pele then unawaweka de lima na gaucho! 😀 Aise unawavunjia heshima hao wazee...lakini kwakuwa ni maoni yako sina budi kukupangia mkuu.