Top 5 Greatest Players Of All Time!

Top 5 Greatest Players Of All Time!

Namba 2 na 4 hawapaswi kuwepo hata 10 bora...unamwachaje Maradona na Pele then unawaweka de lima na gaucho! 😀 Aise unawavunjia heshima hao wazee...lakini kwakuwa ni maoni yako sina budi kukupangia mkuu.
Inawezekana mkuu sema pelle na maradona sikuwaona zaidi ya clips tu , Dr lima siwezi kumtoa asee!!!! ni striker aliyekamilika kwa kila kitu amewatesa sana mabeki na makipa . Gaucho japo hajakaa sana kwenye game lakini alifanya soka liwe tamu kwangu kuwatoa ni ngumu sana😁😁😁😁
 
Hahaa sawa mkuu..
 
Shot fired
Screenshot_20200511-004000~3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200511-004000.jpg
    Screenshot_20200511-004000.jpg
    67 KB · Views: 3
Upo sahihi sana we jamaa. Unapoleta mjadala usitake maoni yako ndo yawe sahihi.
hao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?
 
Pele🇧🇷
Cr7🇵🇹
Kiroboto🇦🇷
Maradona🇦🇷
Johan cryiff🇳🇱
 
Utamuitaje binadam mwenzio kiroboto? Muogope Mungu
Hiyo a.k.a ndo tunavyomwita huku mtaani kwetu buza yani hapo ndo tumemsifia kama tunavyowasifia akina jonas mkude(nungunungu) kassim mlipili ( jitu la mtumba) mimi mwenyewe jina langu la passport pembe kuzagila a.k.a bwege nazi kwa hiyo mkuu isikupe tabu hiyo.
 
Back
Top Bottom