Top 5 mikoa ya amani na Top 5 mikoa yenye fujo hapa Tanzania kwetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
A.Mikoa yenye amani
1.Lindi.
2.Iringa
3.pwani
4.Dodoma
5.singida
Vigezo
1.matukio ya mauaji machache na ukatili wa kijinsia
2.matumizi machache ya madawa ya kulevya
3.stress kidogo


B.mikoa yenye fujo
1.dar
2.arusha
3.tabora
4.mtwara
5.mara

Vigezo
1.matukio mabaya na utapeli umetamalaki
2.wingi wa visasi
3.drugs
 
Ni mimi tu nimewaza hiyo mikoa yenye amani ndio mikoa yenye hali duni ya maisha au tupo wengi?
 
Afu hiyo yenye fujo ndo watu wake wanajitambua sana.hiyo isiyo na fujo ndo imejaa mataahira na yale majitu ya kujipendekeza kwa watawala.
 
Mikoa yenye fujo ndio Engine. Bila hiyo mikoa mgepelekeshwa kama mijibwa
 
Apo Masasi issue vipi
 
Haya ni maoni yako binafsi au kuna utafiti umefanyika?
 
Sisi watu wa Njombe & Geita vp,au tuna mbingu yetu wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…