The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Kwenye list yako ondoa neimar jr tafadhari. Yuko ktk level nyingine kabisa. UMENICHEFUA
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.
Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.
List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane
Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Balotelli
David Luiz
Samatta
Ibrahimovic
Hadi IBRA?
mkuu List yako imekaa vizuri mnoo...
usipunguze mtu hapo...
Watu povu linawatoka ile hali huo ni mtazamo wako.
wasikuumize kichwa
ntawanunulia kanga zimeandikwa "WAJA KUSEMA NI KWAO JAPO JAMBO SI LAO"
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.
Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.
List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane
Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.
Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.
List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane
Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Messi
Raheem Sterling
kwa neymer jr umechemka
Hapo Kwa Messi Nafikiri Utakuwa Umekosea Na Labda Nadhani Bado Unafatilia MPIRA Kwenye Radio Tena Kupitia TBC Taifa Huko Kijijini Kwenu itilimaMsuva
Messi.
Ronaldo.
Singano
JAJA1. Kagwa
2. Dan Sserunkuma
3. Sserunkuma Jr
4. Musoti
5. Manyika Jr
Serrunkuma's BrothersKwangu Mimi Watajwa Wangu Hao Watano Ni Overrated Haswa Na Wanajua Sana Mpira Na Wana Uzoefu Wa Kucheza Ligi Mbalimbali Duniani!
- Jama Mba
- Jaja
- Kpah Sherman
- Oscar Joshua
- Jerryson Tegete
Memphis DepayHapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.