Top 5 Overrated Players

Top 5 Overrated Players

Kwa Neymar na Robinho hauko sawa. Nadhani unachanganya overrated na self destruction.

Robinho alikua na potential ya kuwa best player duniani ila alijiaribu mwenyewe kwa kuondoka Madrid vile vile neymar Jr kwenda barca alijiharibia mwenyewe. Neymar sasa anacheza under shadow of messi wakati Kama angeenda timu nyingine yeye ndio angekua mungu mtu na kufanya mambo zaidi, lakini bado neymar hajapoteza nafasi bado anafanya vizuri na Kama akipunguza utoto na akiweza kumaintain hivi basi atapewa mikoba ya messi pindi messi akianza kushuka.

Kwa sasa naona ni neymar tu ambaye anaweza walau kuwanusa cr7 na messi baada ya muda
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.

mkuu List yako imekaa vizuri mnoo...
usipunguze mtu hapo...
Watu povu linawatoka ile hali huo ni mtazamo wako.
wasikuumize kichwa
ntawanunulia kanga zimeandikwa "WAJA KUSEMA NI KWAO JAPO JAMBO SI LAO"
 
Wachezaji wote wa Taifa starz toka Enzi za mwinyi hadi leo.

Wachezaji wote wa England national team katika fainali 3 za WC zilizopita na Moja ya 2018
 
Gareth Bale
Simon Msuva
David luiz
Sterling
Lowasa
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.

kwa neymer jr umechemka
 
mbona umemuacha adebayor au umemsahau
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Memphis Depay
Gareth Bale
Mario Balotelli
 
Back
Top Bottom