monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu mpaka leo unaamini Rahim sterling ni overrated player?Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.
Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.
List yangu ni hii:
1.Memphis Depay
2.Mario Balotelli
3.Raheem Sterling
4.John Stones
5.Claudio Bravo
Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Ross Barkley..kweli kabisa Ni mzigoAishi Manula
Ross Barkley
huyu jamaa tangu apigwe hio chenga watu wamemuandama sana.. ila nakumbuka Ashley Cole alipigwa chenga na Ronaldo mpaka akapiga msamba ila bado heshma yake kama mmoja wa Left backs wakali haikushuka.