Top 5 Overrated Players

Top 5 Overrated Players

Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1.Memphis Depay
2.Mario Balotelli
3.Raheem Sterling
4.John Stones
5.Claudio Bravo

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
Mkuu mpaka leo unaamini Rahim sterling ni overrated player?
 
VVD
IMG_20191003_102637.jpeg
 
1. Jonas Mkude
2. Dan Serrunkuma
3. Lau Mavugo
 
Back
Top Bottom