Top 5 viongozi bora Afrika 2024

Top 5 viongozi bora Afrika 2024

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.

1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)

2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)

3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)

4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)

5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
 
6. William Samoe Ruto (Kenya)
 
Kila mtu/kiongozi ni mzuri kwa engo yake na kila mmoja ni namba moja kwa uzuri ule na huu.
 
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.

1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)

2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)

3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)

4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)

5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
Naona umechanganya takataka na Mchele!
 
Utaitwa kiongozi bora km upo upande wa watu wa magharibi (US&EU) usipokua nao hao then Wewe huwezi pata promo kua nikiongozi bora regardless na uwezo wako wakufanya maendeleo Kwa watu wako.
From that 1&2 bado sana kusema wanafaa zaidi za inflation ya nchi kwakua wanabebana hao 2.
 
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.

1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)

2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)

3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)

4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)

5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
3-5 ni 🚮🚮
 
Back
Top Bottom