Top 5 viongozi bora Afrika 2024

Top 5 viongozi bora Afrika 2024

Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.

1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)

2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)

3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)

4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)

5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
23 September 2024
New York City

Mahojiano na rais Cyril Ramaphosa kuhusu jinsi 4R zilivyoiinua imani ya wananchi na wafanyabishara ndani ya nchi na wale wawekezaji kutoka nje


JINSI CYRIL RAMAPHOSA ANAVYOTUMIA 4R ZA UKWELI, KAMA ZANA YA KUVUTIA MAENDELEO


View: https://m.youtube.com/watch?v=4gF-YkcFMFQ
As part of his itinerary during his visit to New York for the United Nations General Assembly, President Cyril Ramaphosa has spent the day engaging with the American business community. Earlier, the president had encouraged American business people to explore and seize business opportunities in South Africa. He is about to address the American business forum at the New York Stock Exchange
Kwa kujivunia kutoka moyoni bila kuwa na ulaghai wa kutumia 4R kuwezesha chama chake pekee kuwa na wabunge 100% bunge la taifa na bunge la majimbo, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa wa South Africa anajivunia jinsi ANC ilivyovuna 40 % ya kura huku chama kinachofuatia DA 21 % huku asilimia zilizobaki 39% zimegawana vyama vingine vidogo.

Kupitia 4R za ukweli nchi inaendelea kuwa na mihimili huru ya Bunge, Mahakama na vyombo vya habari.

Hali hiyo imewapa imani wawekezaji wa ndani wana imani kuwekeza zaidi ndani na pia hali hiyo inavutia wawekezaji zaidi kutoka nje.

Kutokana na kuwa na kuaminiana ndani, South Africa imekuwa mfano kwa mataifa dada jirani zilizo nchi za SADC na mbali zaidi.

4R za ukweli zisizo na hila ovu zimemuondolea rais wa South Africa kutokukosa usingizi na kuwaza kutumia majeshi ya usalama kama polisi na usalama wa taifa kuwatishia raia.

kutokana na mazingira mazuri yaliyoletwa na 4R kupitia serikali ya Umoja wa Kitaifa GNU, sana nchi ina nafasi ya kutumia viongozi wa vyama vingine vya kisiasa katika kulitumikia taifa ktk nafasi za kiuongozi na hivyo nchi kufaidika na kila raia aliye na upana wa maono bila kujali wametoka vyama vingine.

Tofauti na kama ingekuwa utawala wa kimabavu, kuzuia raia kufikia nafasi za kiuamuzi kupitia kura walizopata baada ya kuaminiwa na wapiga kura waliowacgagua katika uchaguzi ulio wazi, huru na wa haki kuanzia ngazi ya mchakato wa mikutano ya vyama vyao, kampeni hadi kutangazwa wameahinda.

Source: SABC News
 
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.

1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)

2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)

3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia)

4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana)

5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
Huyo mzambia should be no-1
 
Kweli watu tunatofautiana sana hiyo list yako inamkosaje Ibrahim Traore?
 
Umewahi kufika Ghana?

Umewahi kuwasikia Waghana wanavyom recommend Rais wao uliyemtaja?
 
Back
Top Bottom