TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
Halafu nasikiaga mle jengoni Roho wa Uzinzi na Uasherati amening'inia pale langoni!
 
1 Catherine Magige anavutia kwa sababu ameshika mahela mkononi baaaasi
2 Ninaogopa kukoment kwa Mary Mwanjetwa nisije nikamfuata babu Seya

{mkuu funguka nani anamiliki huu mzigo??}
 
Huyo mwenye watoto wawili amenifanya nichanganyikiwe kabisa, yaani kila nikiangalia picha naona kizunguzungu ila kuna njemba moja hivi naiogopa nisije kufia jela mie.
 


!
!
kavulana baba yake mtupu, rangi mofolojia ya ndoga, ka kike kama hakajafata kwa mama yake...basi kuna mtu atakuwa kama sio kaburini basi anaozea jela
Mkuu nimecheka sana sijui kama wengi wamekuelewa. Nikakumbuka ule wimbo " Seya uko wapiii Seya seya, vaa vizuri mpenzi wangu upendeze ............"
 
Mmemsahau Ana Makinda kwenye hiyo list. Mie mwenzenu kila nikimwona naishiwa nguvu kwa urembo wake.
 

Attachments

  • image.jpg
    87.4 KB · Views: 128
Halafu nasikiaga mle jengoni Roho wa Uzinzi na Uasherati amening'inia pale langoni!

Tunawaomba watumishi wa Mungu mwende pale mjengoni mkamkemee huyo roho wa uzinzi aondoke, asiendelee kuning'nia pale mlangoni, akiwavizia waishiwa wetu.
 
Huyo Esther enzi nipo UDSM ilikuwa ni utata mtupu akiingia kupiga pindi!!
 

Mkuu wewe unataka kila wakati tuwe tumekunja ndita? Kila kitu na wakati wake, wakati wa kulia, wakati wa kucheka, wakati wa kuvuna na wakati wa kupanda. Mada kama hizi wakati mwingine zinatuondolea stress na kutufanya tupate burudani sasa kama wewe hupenda achana nazo. After all humu kuna mambo yote ukitaka utani, siasa, elimu, mapenzi, kazi, umbea, uchumi, biashara, nk wewe nenda kwenye topic unazozitaka. Ukiona topic inakukera achana nayo hiyo ujue ina wenyewe!
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…