Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Mkuu nimecheka sana sijui kama wengi wamekuelewa. Nikakumbuka ule wimbo " Seya uko wapiii Seya seya, vaa vizuri mpenzi wangu upendeze ............"
Kwahiyo unataka kusema babake ni KJ kinyume chake?Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshangamua bado wewe tu
Mmemsahau Ana Makinda kwenye hiyo list. Mie mwenzenu kila nikimwona naishiwa nguvu kwa urembo wake.
Kama huyu hajakidhi viwango, basi hakuna mrembo kabisa.
Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?
Kwa hao watoto wa Vick Kamata,huyo Mvulana anafanana na Baba yake kweli!
Namba 1, ameshika ule mzigo aliopewa na ZZK!!?
pole mkuu kwa kukwazika. kama vipi tembea na funguo ya zipu ya mwenyekiti ili asiendelee kukuaibisha.mwanaume umbeya...umeulizwa????
Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?
1 Catherine Magige anavutia kwa sababu ameshika mahela mkononi baaaasi
2 Ninaogopa kukoment kwa Mary Mwanjetwa nisije nikamfuata babu Seya
Mukya kwann hujamuweka namba Moja mkuuu?
Make mwenyekiti wetu pamoja na kengeza zake bt kaona pale ndo kaopoa aseeeee
mkuu mshua ni nani??
Umbea mwingine unafaida bana
hebu tujuzane