TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
Mkuu nimecheka sana sijui kama wengi wamekuelewa. Nikakumbuka ule wimbo " Seya uko wapiii Seya seya, vaa vizuri mpenzi wangu upendeze ............"

!
!
Mkuu usinichongee bana mie sijamtaja teh teh teh teh...angekuwa anawatupia ndani mafisadi na wauza unga duh inji ingeendelea kinoma. Yeye ukimlia na wewe lazima uliwe
 
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshang‘amua bado wewe tu
Kwahiyo unataka kusema babake ni KJ kinyume chake?
 
Mmemsahau Ana Makinda kwenye hiyo list. Mie mwenzenu kila nikimwona naishiwa nguvu kwa urembo wake.

!
!
nani!...njiwa ana makinda au huyu "kitoa sauti katika redio"?.....angezza na mheshimiwa fulani yule wapigwe tu, watu tungekuwa tunakufuru kila kukicha maana kama sio zombi wangefyatua shetani
 
Kama huyu hajakidhi viwango, basi hakuna mrembo kabisa.
FKB_3496.JPG
FKB_3496.JPG

!
!
tatizo ni pete hapo kidoleni, avue tumthaminishe
 
Pamoja na kua mimi sio Gamba lakini kuna hiki kitu cha Arusha Monduli mbunge wa kuteuliwa Namelo Sokoine mpeni 5 basi!

Mhe%2BNamelo%2BSokoine%2B5.JPG
 
Nawapa wote 100% halafu naanza kucheck validity ya hiyo %, no moja domo la chini limishuka mno hivyo na less 10% bal=90%, usafiri bado kidogooooo -5% =85% niendelee?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom