Na bado wengine wanaendelea kuukalia uchumi....lol!!
Babu DC!!
Na bado wengine wanaendelea kuukalia uchumi....lol!!
Babu DC!!
kwani baba yake huyo mtoto wa kiume ni nani? mbona mnaongea kama mnamfahamu vile?
Halima Mdee hana uzuri wowote chunusi kibao usoni na sauti yake mbaya. Inawezekana hujawahi kumuona.
Moja ya majukumu yao ni safari za Dubai.
Si mseme sasa kafanana na nani?
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
he huyu mtoto wa kiume wa Viky anafanana na Riz one du'
Kwani wewe huoni ! Watu wengine Bwana
mpaka aende gym kwanza.Hivi Kairuki si Mbunge pia.?
Au mie ndio sijui civics ya sasa inavyoenda??
Mbona sasa hamjamuweka?
Kwa hali ilivyo Mheshimiwa alikuwa na haki ya kumkaribisha Mheshimiwa mteuliwa Dubai.Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?