TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
Ki ukweli macho ya na 4 ukiizoom iyo picha utaamini niyasemayo Hogera zake kidogo yalitaka kumfikia ya my wife lakini bado.
 
aiseeeee babayangu nadhani makinda anastahili namba hapo au umemweka bench??
 
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.

Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471

Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472

Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473

Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475

5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474

KUNA MWENYE SWALI..?

Mkuu top 5 yako imejaa mikorogo tu naona ndio ugonjwa wako huo labda. hapo ni Vicky tu labda ndio mwenye rangi ya asili.
 
Hivi Kairuki si Mbunge pia.?

Au mie ndio sijui civics ya sasa inavyoenda??
Mbona sasa hamjamuweka?
 
Hivi Kairuki si Mbunge pia.?

Au mie ndio sijui civics ya sasa inavyoenda??
Mbona sasa hamjamuweka?

Hapo vipi, ridhika basi.
4-waziri Fenella Mukangara (kulia) estar bulaya (kkushot) na NW wa Katiba na Sheria Angela Kairu.JPG
 
Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?
Kwa hali ilivyo Mheshimiwa alikuwa na haki ya kumkaribisha Mheshimiwa mteuliwa Dubai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom