mbutaaaaaWho iz dat Baba? wajameniiiiiiiii
Heshima Mbele MkuuAcha kuishi kwa assumption wewe... A spade will always be a spade... Sema kama unajua..otherwise, funga kiongeleo hicho.
..........jaribu kumfananisha na Dr. Slaah ! kama haingii basi yule Dr mwingine !
Magige mashine aisee anafanana na mke wangu MARY
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
Dah! Wameolewa?
Tupeni na list ya wabunge Wamama wenye mvuto; Lwakatare, Makinda, Migiro, Kilango, Manyanya nk.
Kwa Staili hii Ya Upeo Sidhani Kama Tutaweza Kushindana na Waliotutangulia Kimaendeleo. Wakati Wenzetu Sasa Wanawaza Kupeleka Ndege ktk Sayari Ya Mars huku Wakiendelea Kufanya Innovations Mbalimbali Kwa Maendeleo Yao na Hapo Hapo Pia Wakitenga Bajeti Maalum Ya Kutusaidia Sisi MIAFRIKA Leo Mtu Kabisa Anakuja na Mada Ya Mbunge Gani wa Kike Anaongoza Kwa Mvuto. Nadhani Ungepeleka Kitu hiyo Facebook Ingefanikiwa Sana na Sidhani Kama Humu JF We do Entertain Such Stupidity of the Highest Order. Mvuto Wao Sijui Uzuri Wao au Urembo Wao Unawakilisha Nini Maisha Ya Watanzania Wengi Hohe Hahe? Nadhani Ulipashwa Useme Je Wabunge Warembo Wamesaidia Nini ktk Kuimarisha Hali za Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii Kwa Watanzania Kidogo Ningekuweka ktk Kundi La Intellectuals ila Kwa Uzi Wako Huu Really You bored Me and I am so Sorry for My Harsh Words towards You!!!!!
Kwa hao watoto wa Vick Kamata,huyo Mvulana anafanana na Baba yake kweli!
JF kuna:
- Jukwaa la Sayansi na teknolojia
- Kuna jukwaa la Great thinkers
- Kuna jukwaa la Siasa
- n.k.
Kwa kifupi nenda huko utakutana na wenzio na wenye perception/attitude kama yako.
Umemsahau Rosemary KiriginiWanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
Kigezo cha kupata ubunge wao ni huo huo urembo
JF kuna:
- Jukwaa la Sayansi na teknolojia
- Kuna jukwaa la Great thinkers
- Kuna jukwaa la Siasa
- n.k.
Kwa kifupi nenda huko utakutana na wenzio na wenye perception/attitude kama yako.
ndo maana mbowe alitelekeza familia kwa joyce