No Comment ila Wenye Akili Zao Nadhani Wamenielewa na Ningeshangaa Kama Nisingepata Negative Reactions Kwa Ukweli Wangu Nilioutoa na HUO UKWELI UTABAKI DAIMA na MILELE. Wenzetu Wanafanya WALK THE WALK sisi bado Tuna TALK THE TALK. Nasikitika Sana na Kuna Hatari Ya Kuja Taifa La Mazuzu Siku za Usoni na Bado Hatujajitambua na Hatutajitambua Hadi KIAMA KIJE. Nimefunga Mjadala wa Hili Sasa!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 135476
Ungejaribu kutuonyesha full kama hivi ili tujilizishe kama yale mambo yetu yapo "Mpondondo" kudadeki ila mzee nanii anafaidi......!!!
Kwanini mkuu, una maana mvuto 0%?toa lwakatare hapo.
View attachment 135476
ungejaribu kutuonyesha full kama hivi ili tujilizishe kama yale mambo yetu yapo "mpondondo" kudadeki ila mzee nanii anafaidi......!!!
Mkuu nani tena huyo jameni, kumbe Mjengoni kumekucha?Hakuna lolote,ni ma foundation na poda zinawang'arisha!!!! Wafanyie tathmini wakiamka asubuhi kabla ya kunawa uso!!! My wife ni mzuri bana.
haya kakojoe ukalale! Sijaona ubaya wa thread hii. Kuna muda wa kuwa serious, kufurahi na kucheka, kununa etc etc. nadhan wewe hulijui hilo..
Taja jina au weka picha ya baba wa huyo kavulana ili tulinganishe! Else, ni uongo
!
!
kavulana baba yake mtupu, rangi mofolojia ya ndoga, ka kike kama hakajafata kwa mama yake...basi kuna mtu atakuwa kama sio kaburini basi anaozea jela
Si mseme sasa kafanana na nani?
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshangamua bado wewe tu
Kwa Staili hii Ya Upeo Sidhani Kama Tutaweza Kushindana na Waliotutangulia Kimaendeleo. Wakati Wenzetu Sasa Wanawaza Kupeleka Ndege ktk Sayari Ya Mars huku Wakiendelea Kufanya Innovations Mbalimbali Kwa Maendeleo Yao na Hapo Hapo Pia Wakitenga Bajeti Maalum Ya Kutusaidia Sisi MIAFRIKA Leo Mtu Kabisa Anakuja na Mada Ya Mbunge Gani wa Kike Anaongoza Kwa Mvuto. Nadhani Ungepeleka Kitu hiyo Facebook Ingefanikiwa Sana na Sidhani Kama Humu JF We do Entertain Such Stupidity of the Highest Order. Mvuto Wao Sijui Uzuri Wao au Urembo Wao Unawakilisha Nini Maisha Ya Watanzania Wengi Hohe Hahe? Nadhani Ulipashwa Useme Je Wabunge Warembo Wamesaidia Nini ktk Kuimarisha Hali za Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii Kwa Watanzania Kidogo Ningekuweka ktk Kundi La Intellectuals ila Kwa Uzi Wako Huu Really You bored Me and I am so Sorry for My Harsh Words towards You!!!!!
Kafanana na Baba ake