TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
No Comment ila Wenye Akili Zao Nadhani Wamenielewa na Ningeshangaa Kama Nisingepata Negative Reactions Kwa Ukweli Wangu Nilioutoa na HUO UKWELI UTABAKI DAIMA na MILELE. Wenzetu Wanafanya WALK THE WALK sisi bado Tuna TALK THE TALK. Nasikitika Sana na Kuna Hatari Ya Kuja Taifa La Mazuzu Siku za Usoni na Bado Hatujajitambua na Hatutajitambua Hadi KIAMA KIJE. Nimefunga Mjadala wa Hili Sasa!!!!!!!!!!!!!!

haya kakojoe ukalale! Sijaona ubaya wa thread hii. Kuna muda wa kuwa serious, kufurahi na kucheka, kununa etc etc. nadhan wewe hulijui hilo..
 
Umemsahau Rosemary Kirigini

Dah, aisee Si haba!

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa Musoma Rosmary Kirigini akipa leo ndani ya Ukumbi wa Bunge Dododma.JPG
 
View attachment 135476

Ungejaribu kutuonyesha full kama hivi ili tujilizishe kama yale mambo yetu yapo "Mpondondo" kudadeki ila mzee nanii anafaidi......!!!

Hakuna lolote,ni ma foundation na poda zinawang'arisha!!!! Wafanyie tathmini wakiamka asubuhi kabla ya kunawa uso!!! My wife ni mzuri bana.
 
Mheshimiwa Catherine Magige akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge, Dodoma.

Catherine Magige.jpg
 
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshang‘amua bado wewe tu

Huwezi kufungiwa kwa kusema ukweli...
 
Kwa Staili hii Ya Upeo Sidhani Kama Tutaweza Kushindana na Waliotutangulia Kimaendeleo. Wakati Wenzetu Sasa Wanawaza Kupeleka Ndege ktk Sayari Ya Mars huku Wakiendelea Kufanya Innovations Mbalimbali Kwa Maendeleo Yao na Hapo Hapo Pia Wakitenga Bajeti Maalum Ya Kutusaidia Sisi MIAFRIKA Leo Mtu Kabisa Anakuja na Mada Ya Mbunge Gani wa Kike Anaongoza Kwa Mvuto. Nadhani Ungepeleka Kitu hiyo Facebook Ingefanikiwa Sana na Sidhani Kama Humu JF We do Entertain Such Stupidity of the Highest Order. Mvuto Wao Sijui Uzuri Wao au Urembo Wao Unawakilisha Nini Maisha Ya Watanzania Wengi Hohe Hahe? Nadhani Ulipashwa Useme Je Wabunge Warembo Wamesaidia Nini ktk Kuimarisha Hali za Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii Kwa Watanzania Kidogo Ningekuweka ktk Kundi La Intellectuals ila Kwa Uzi Wako Huu Really You bored Me and I am so Sorry for My Harsh Words towards You!!!!!

Kuna majukwaa mengine Mkuu....hapa tuache tujichanganye kwa staili hii tu

ukienda Siasani utakuta wanajadili siasa,ukienda kule kwenye Uchumi utakuta wanajadili hayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom