Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,248
- 360
Kwa safari za Mwanza, Kilimanjaro panda FASTJET...
Usipoelewa na hapo we kalaghabaho...
Watanzania kwa uongo hatujambo, kama uongo ungekuwa ni fursa, mbona nchi ingekuwa tajiri hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa safari za Mwanza, Kilimanjaro panda FASTJET...
Usipoelewa na hapo we kalaghabaho...
Halima mdee mmemsahau angefaa kushika namba hapo!
1 Catherine Magige anavutia kwa sababu ameshika mahela mkononi baaaasi
2 Ninaogopa kukoment kwa Mary Mwanjetwa nisije nikamfuata babu Seya
Huyo namba tatu sio Mbowe kweli?!
![]()
!
!
kavulana baba yake mtupu, rangi mofolojia ya ndoga, ka kike kama hakajafata kwa mama yake...basi kuna mtu atakuwa kama sio kaburini basi anaozea jela
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
Kwa safari za Mwanza, Kilimanjaro panda FASTJET...
Usipoelewa na hapo we kalaghabaho...
Mukya kwann hujamuweka namba Moja mkuuu?
Make mwenyekiti wetu pamoja na kengeza zake bt kaona pale ndo kaopoa aseeeee
Halima mdee mmemsahau angefaa kushika namba hapo!
!
!
pamefungwa huko ndugu rudi haraka
Kwa hao watoto wa Vick Kamata,huyo Mvulana anafanana na Baba yake kweli!
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]ukiwa viti maalumu sharti uwe mrembo!
hicho ni mojawapo ya kigezo muhimu.
daa wanawake kweli tuna fursa ..
hahahaaaaaaaaa wamefanana aiseeeeeeeeeeee