Top 5 wanamuziki matajiri Afrika Mashariki

Top 5 wanamuziki matajiri Afrika Mashariki

<<Haswaaaaaaaaaa Umepatia saaaaaaana !! king hata babu seya hamfikiiiii.>>
 
Ivi mnaongelea bilioni. Au milioni sijaelewa
 
Mnaongelea assets au cash wajameni embu tuwe serious
 
Sio mbaya alikiba forbes wamethibutisha ana bilioni 4. 1 top ten africa mashariki hakosi. Ndomana muanzisha mada kataja top 5
 
Bilioni 1 ni sawa na milioni ngapi kwa ndomo. Bilioni komi katoa wap tunataka fact
 
uwezo wa kufikiri 1% kaa kimyaa
Wee jamaa umetoka wapi? unajua nimeuliza nikiwa na maana gani?

Au jf siku hizi mtu haruhusiwi kuliza chochote asicho kijua?

Ok sawa! Nimesha kuelewa upo kundi gani la wale watafiti kati ya wa 4
 
Kuna Bebe Cool ambaye apart from being super rich pia mshua alikua waziri Uganda.. Navio pia kwao wana pesa chafu..Bi maza ake alikua boss wa uganda revenue authority ka miaka 8. vipi king of the Ghetto Bobi Wine.. jamaa aloshusha apartment tatu za ghorofa pale Kampala city centre..2011 Bobi wine anaingia na escalade yake pale club silk
pesa za mshua
pesa za bimkubwa
hizo hatuzitaki ni sawa wale mnaosema ooh davido sijui nani kwao wanamapene..
tunataka pesa chafu, ya mtu ambae ametoka from zero to hero...
inspiration!

na hao ni wachache sana..
na huo ndio utajiri tunaoutaka
mtu kamenyeka mwenyewe..

halafu show off za pesa ,sio utajiri
waweza jenga gorofa au benki una laki5 zimebaki!
au gorofa la urithi
diamond angekua msanii mchumi ,havai vizuri hanufaishi madansa hachangii mambo ya jamii, hainui familia yao

yani angekua mbinafsi tu, angekua na hela nyingi sana
 
Back
Top Bottom