Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,619
Kwanini mkuu???Huu utafiti una matata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu???Huu utafiti una matata
Lady J-diimme msahau Alikiba jamani
Wee jamaa umetoka wapi? unajua nimeuliza nikiwa na maana gani?uwezo wa kufikiri 1% kaa kimyaa
pesa za mshuaKuna Bebe Cool ambaye apart from being super rich pia mshua alikua waziri Uganda.. Navio pia kwao wana pesa chafu..Bi maza ake alikua boss wa uganda revenue authority ka miaka 8. vipi king of the Ghetto Bobi Wine.. jamaa aloshusha apartment tatu za ghorofa pale Kampala city centre..2011 Bobi wine anaingia na escalade yake pale club silk