Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Siko Njombe mkuuhizo readings pia sio sahihi,
kama hapo njombe sio 7!
ukitumia reading ya simu yako iko 2!
chunguza utaniambia!
uko kipande ipi man??Siko Njombe mkuu
mi nipo arusha kisongo apa nipo inasoma kwenye simu 5!!Siko Njombe mkuu
Aisee baridi ya mwaka huu imekuja kivingine maana kuna maingizo mapya kwenye list ya top 5 kama Sumbawanga.
Huko wilayani kwenu Hali ikoje? List hii hapa
1.Njombe=5°C
2.sumbawanga=7°C...
Huko ni kikwi mzeeWaweke makete kwanza
Maelezo safi kabisa....kwenda shule muhimu sanaUbaridi ndio kitu gani?
Kuna maneno yanaeleweka yakisemwa/kuandikwa ila sio sahihi. Joto/jotoridi/halijoto ndio neno sahihi hapo...