Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

Mbeya hii 9 real feel ni 8.
Screenshot_20210707-072653.jpg
 
Unaambiwa Makete unalala na snake bed moja hakung'ati Wala Nini anatafuta joto mazee. Kunguru wanakufa wwnyewe tu winter Hilo babake! Sumbawanga kunakuwa na upepo flani hivi unavuma kwa nguvu halafu unaambatana na mchanga baba unachapa miguuni balaa. Dah basi hapo nipo std one nasoma Jangwani primary School natokea Regional block nakatisha pembeni ya katandala natoboa Jangwani mpaka shule pale. Nipo na my brother yeye alikuwa anasoma Sumbawanga primary school, yeye akipita katikati ya katandala dah RIP bro! Baridi inakung'uta bana. Hiyo ni 40 yrs ago wadau! Hahaha

Nenda Mwandele the Best au King G. Baridi itaisha
 
Aisee viwango vya joto kwa baadhi ya mikoa mwaka huu ni kwere maana imekuja kivingine, kuna maingizo mapya kwenye list ya top 5 kama Sumbawanga.

Huko wilayani kwenu Hali ikoje? List hii hapa
1.Njombe=5°C
2.sumbawanga=7°C
3.Mbeya=10°C
4.Iringa=12°C
5.Tabora=12°C
6.Singida=12°C

View attachment 1843745
Hizo readings za Njombe wamechukulia eneo gani, wakisomea Kitulo inaweza kuwa chini ya hapo
 
Bila kuona makete hapo hizo data zinakuwa null
 
Wiki iliyopita nilikuwa Tanga maeneo ya Lushoto siku mbili nilizokaa ni kama nimekaa mwezi kwa baridi ilivyokuwa inagonga maana koti langu zito na sweta nililovaa ndani havikusaidia kitu, asubuhi ukiamka ukiwasha gari haiondoki mpaka uipashe moto kama dkk 15 ndio inaondoka kutokana na vyuma kupata baridi, nilishangaa sana
 
Back
Top Bottom