Joel esau macha
Member
- Jul 1, 2021
- 8
- 7
Njombe ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo atasema njombe ubaridi uko juu au chini? Na Kwa value ipi?[emoji28][emoji28]Maelezo safi kabisa....kwenda shule muhimu sana
Dah! 😂Kwa hizo mbegu za kiume hapo kwa ramani hadi daslama itakuwa na baridi kalii,.
Weka mkuuTuweke tu screen shoot za sasa
Hatari sana mkuuBaridi ya Sumbawanga huwa inaingia kwenye mifupa inaishi humo...
Ni kali...
Sasa huko si joto kabisa hilo
Barid mnoSasa huko si joto kabisa hilo
Leo huku Arusha nimeshindwa hata kwenda jogging yaaniAisee viwango vya joto kwa baadhi ya mikoa mwaka huu ni kwere maana imekuja kivingine, kuna maingizo mapya kwenye list ya top 5 kama Sumbawanga.
Huko wilayani kwenu Hali ikoje? List hii hapa
1.Njombe=5°C
2.sumbawanga=7°C
3.Mbeya=10°C
4.Iringa=12°C
5.Tabora=12°C
6.Singida=12°C
View attachment 1843745
Kwani uongo ndugu yangu..!?Dah! 😂
nimesoma kantalamba barid ya swax ni kama upo Russia mzeeUnaambiwa Makete unalala na snake bed moja hakung'ati Wala Nini anatafuta joto mazee. Kunguru wanakufa wwnyewe tu winter Hilo babake! Sumbawanga kunakuwa na upepo flani hivi unavuma kwa nguvu halafu unaambatana na mchanga baba unachapa miguuni balaa. Dah basi hapo nipo std one nasoma Jangwani primary School natokea Regional block nakatisha pembeni ya katandala natoboa Jangwani mpaka shule pale. Nipo na my brother yeye alikuwa anasoma Sumbawanga primary school, yeye akipita katikati ya katandala dah RIP bro! Baridi inakung'uta bana. Hiyo ni 40 yrs ago wadau! Hahaha
Mule mule 😂Kwani uongo ndugu yangu..!?
Makete imewakilishwa na NjombeWaweke makete kwanza
Kule inakuwaga minus kadhaaKitulo si kuna snow kabisa.