Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

Leo huku Arusha nimeshindwa hata kwenda jogging yaani
 
Dar es salaam kuna baadhi ya raia wanavaa makoti na kuchemsha maji ya kuoga.

 
Mbeya ukitoka kwenda msalani kurudi kitandani ka wamemwaga maji huu mwezi baridi imezidi
 
Unaambiwa Makete unalala na snake bed moja hakung'ati Wala Nini anatafuta joto mazee. Kunguru wanakufa wwnyewe tu winter Hilo babake! Sumbawanga kunakuwa na upepo flani hivi unavuma kwa nguvu halafu unaambatana na mchanga baba unachapa miguuni balaa. Dah basi hapo nipo std one nasoma Jangwani primary School natokea Regional block nakatisha pembeni ya katandala natoboa Jangwani mpaka shule pale. Nipo na my brother yeye alikuwa anasoma Sumbawanga primary school, yeye akipita katikati ya katandala dah RIP bro! Baridi inakung'uta bana. Hiyo ni 40 yrs ago wadau! Hahaha
 
nimesoma kantalamba barid ya swax ni kama upo Russia mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…