Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..


Nenda Mwandele the Best au King G. Baridi itaisha
 
Hizo readings za Njombe wamechukulia eneo gani, wakisomea Kitulo inaweza kuwa chini ya hapo
 
Kitulo si kuna snow kabisa.
Tuna plan ya kwenda ikonda hospital ipo huko, ninavojiandaa kama naenda frontline, K vants, fegs, kaya za kutosha Makoti mazito, buti nzito n. K maana ni zaidi ya wiki tutakua kule
 
Bila kuona makete hapo hizo data zinakuwa null
 
Wiki iliyopita nilikuwa Tanga maeneo ya Lushoto siku mbili nilizokaa ni kama nimekaa mwezi kwa baridi ilivyokuwa inagonga maana koti langu zito na sweta nililovaa ndani havikusaidia kitu, asubuhi ukiamka ukiwasha gari haiondoki mpaka uipashe moto kama dkk 15 ndio inaondoka kutokana na vyuma kupata baridi, nilishangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…