Top 5 ya wasanii matajiri Africa, Diamond Hayupo. Why?

Mnafeli sana.dhana ya utajiri inategemea umesimama wapi.

Hata boss wetu himself MO,akivuka boda africa acha duniani bado ni kituko,ingawa kibongo bongo ndiye kidume haswaa.

Fikiria msanii wa tatu kwa pesa ni donjazz=ambaye ana madafu kama 70bln hivi.wasanii vijana lika la mond ni davido,wizkid na sarkodie ambao wote hao utajiri wao ni zaidi ya madafu 30bln ni utajiri mkubwa sana huo sio wa kuishia kwenye nyumba na gari.hizi nyumba,magari na studio ni mali ndio lakini si za kupambana na hao watu.

Fiiiria ndugu yetu hata kununua gari yenye muonekano wa kistaa walau hata rolls royce ya 500mln,imeshindikana.si kwamba hataki,bali anajua hajafika huko.tuendelee kumuombea na kumsaport siku moja atasomeka hapo.top 20 chameleone yuko no 20[emoji38][emoji38].
 
hawezi kushindana na wanigeria, wanigeria wana pesa sana, wana fans base kubwa kwa sababu ya wingi wa watu , population yao zaidi ya milion 200, kwa east africa diamond anaongoza
 
Diamond leo amesema Ukweli kuwa Mikakati yake na Timu Yake ni Kuingia Nafasi Ya 5 kwenye Hilo jarida kuanzia Mwakani Au Mwaka Kesho Kutwa! Hata yeye Amesema Sasa Alipo Ji Mwambafayi ni Wapi? Au watu mnawivu na Maisha Yake Binafsi?

Nakukumbusha Tuu leo Kwenye Pay-Roll Yake Kaongeza Wafanyakazi 5 Ambao Kwa ujumla Wao Mishahara Yao Sio chini Ya 10M hiyo ni Kila Mwezi! So jitafakari unaposema Ana Jimwabafayi!

Kapambana Wasafi TV sasa Inaenda Afrika Nzima,So Tegemea Interviews kali toka Afrika.Diamond Mtamsema Yote ila kwenye Hela Ana Nidhamu ya Halii ya Juuu Mnoo
 
Hao wameajiriwa ili watengeneze pesa na wajilipe na sio diamond kuwalipa hizo 10m kutoka kwenye mfuko wake
 
Mimi sio shabiki wa Mambo ya mziki wa tanzania ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana ila nimejiuliza baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa shida nini? Nikaendelea kucheki adi top-ten jamaa hayupo!

Wizkid&Davido Wapo. au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Sijasoma hilo orodha lakini hata hivyo nina imani orodha imeongozwa na wana-Nigeria na labda Msouth moja au wawili!

Man, bado sana kwa msanii wa Tanzania kushindana na wasanii wa Nigeria hususani linapokuja suala la kipato!!! Mosi, Nigeria ina diaspora angalau mara tano ya diaspora wa Tanzania! Kutokana na hilo, kisha ukachanganya na diasporas wengine wa West Africa, ndo maana unakuta wasanii wa Nigeria wanajaza sana kumbi hata wakipiga show nje ya Afrika kwa sababu!

On top of that, audience ya wasanii wa Nigeria ni karibu kote Kusini mwa Jangwa la Sahara! Kwa maana nyingine, karibu diaspora wote wa kusini mwa jangwa la sahara ni mashabiki wa wasanii wa Nigeria na hivyo kuzifanya show zao za nje na zenyewe kuwa kubwa na mapato mengi!

Ukitoa hilo la shows, kama ujuavyo, mbele watu wananunua sana digital music! Hao Diaspora ni chanzo kingine kikubwa sana cha mapato kinachotokana na digital sales ya muziki wa Kinaija!

Trust me, katika yote hayo, Diamond anabebwa zaidi na Wakenya kuliko na Watanzania hususani linapokuja suala digital sales.

Kubwa zaidi, ENDORSEMENT! Value ya endorsement ya wasanii wa Nigeria kutoka kampuni zilizo Nigeria ni kubwa maradufu ya zilizopo Bongo!!!

But look here!! Leo hii Forbes wakisema wataje orodha ya wasanii tajiri duniani basi orodha hiyo itakuwa imetawaliwa na Wamarekani au wasanii wanaofanyia kazi Marekani hata kama sio Wamarekani!! Alternatively, ukitaja wafanyabishara tajiri zaidi duniani nako utakuta kuna Wamarekani kadhaa!!! Na hata ukisema utaje kampuni tajiri zaidi duniani nako utakuta za Kimarekani!!!

Rudi Africa!

Ukitaja matajiri 10 wakubwa kabisa kutoka Africa, huwezi kukuta Mtanzania hata mmoja lakini utakuwa Wanaija wa kutosha!!!

Ukisema utaje kampuni kubwa 10 kutoka Africa, huwezi kuipata ya Tanzania lakini za Naija utazikuta!!!

Kwa staili hiyo, ni ngumu sana kwa msanii wa Tanzania kuwa miongoni mwao!

So, kitu pekee kinachoweza kumwingiza Mond kwenye hiyo list ni mchanganyiko wa muziki na hustles zake nyingine! Msanii wa Nigeria anaweza kuwa kwenye list hata bila ya hizo hustles zingine!

So, it's all about the business and the economy!
 
Mimi sio shabiki wa mambo ya muziki wa Tanzania, ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana.

Ila nimejiuliza, baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi Barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa, shida nini?

Nikaendelea kucheki hadi Top-Ten jamaa hayupo ila Wizkid & Davido wapo. Au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Kuwa maarufu na kuwa tajiri ni vitu viwili tofauti
 
Mimi sio shabiki wa mambo ya muziki wa Tanzania, ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana.

Ila nimejiuliza, baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi Barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa, shida nini?

Nikaendelea kucheki hadi Top-Ten jamaa hayupo ila Wizkid & Davido wapo. Au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Siku nyingine uwe unakuja na ushahid
 
Sijasoma hilo orodha lakini hata hivyo nina imani orodha imeongozwa na wana-Nigeria na labda Msouth moja au wawili!

Man, bado sana kwa msanii wa Tanzania kushindana na wasanii wa Nigeria hususani linapokuja suala la kipato!!! Mosi, Nigeria ina diaspora angalau mara tano ya diaspora wa Tanzania! Kutokana na hilo, kisha ukachanganya na diasporas wengine wa West Africa, ndo maana unakuta wasanii wa Nigeria wanajaza sana kumbi hata wakipiga show nje ya Afrika kwa sababu!

On top of that, audience ya wasanii wa Nigeria ni karibu kote Kusini mwa Jangwa la Sahara! Kwa maana nyingine, karibu diaspora wote wa kusini mwa jangwa la sahara ni mashabiki wa wasanii wa Nigeria na hivyo kuzifanya show zao za nje na zenyewe kuwa kubwa na mapato mengi!

Ukitoa hilo la shows, kama ujuavyo, mbele watu wananunua sana digital music! Hao Diaspora ni chanzo kingine kikubwa sana cha mapato kinachotokana na digital sales ya muziki wa Kinaija!

Trust me, katika yote hayo, Diamond anabebwa zaidi na Wakenya kuliko na Watanzania hususani linapokuja suala digital sales.

Kubwa zaidi, ENDORSEMENT! Value ya endorsement ya wasanii wa Nigeria kutoka kampuni zilizo Nigeria ni kubwa maradufu ya zilizopo Bongo!!!

But look here!! Leo hii Forbes wakisema wataje orodha ya wasanii tajiri duniani basi orodha hiyo itakuwa imetawaliwa na Wamarekani au wasanii wanaofanyia kazi Marekani hata kama sio Wamarekani!! Alternatively, ukitaja wafanyabishara tajiri zaidi duniani nako utakuta kuna Wamarekani kadhaa!!! Na hata ukisema utaje kampuni tajiri zaidi duniani nako utakuta za Kimarekani!!!

Rudi Africa!

Ukitaja matajiri 10 wakubwa kabisa kutoka Africa, huwezi kukuta Mtanzania hata mmoja lakini utakuwa Wanaija wa kutosha!!!

Ukisema utaje kampuni kubwa 10 kutoka Africa, huwezi kuipata ya Tanzania lakini za Naija utazikuta!!!

Kwa staili hiyo, ni ngumu sana kwa msanii wa Tanzania kuwa miongoni mwao!

So, kitu pekee kinachoweza kumwingiza Mond kwenye hiyo list ni mchanganyiko wa muziki na hustles zake nyingine! Msanii wa Nigeria anaweza kuwa kwenye list hata bila ya hizo hustles zingine!

So, it's all about the business and the economy!
Umemaliza mkuu.
 
Back
Top Bottom