Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wameajiriwa ili watengeneze pesa na wajilipe na sio diamond kuwalipa hizo 10m kutoka kwenye mfuko wakeDiamond leo amesema Ukweli kuwa Mikakati yake na Timu Yake ni Kuingia Nafasi Ya 5 kwenye Hilo jarida kuanzia Mwakani Au Mwaka Kesho Kutwa! Hata yeye Amesema Sasa Alipo Ji Mwambafayi ni Wapi? Au watu mnawivu na Maisha Yake Binafsi?
Nakukumbusha Tuu leo Kwenye Pay-Roll Yake Kaongeza Wafanyakazi 5 Ambao Kwa ujumla Wao Mishahara Yao Sio chini Ya 10M hiyo ni Kila Mwezi! So jitafakari unaposema Ana Jimwabafayi!
Kapambana Wasafi TV sasa Inaenda Afrika Nzima,So Tegemea Interviews kali toka Afrika.Diamond Mtamsema Yote ila kwenye Hela Ana Nidhamu ya Halii ya Juuu Mnoo
Mbona umezungumza kitu kile kile unachokikataa.Hayupo Boss anayaelipa mshahara kupitia mfuko wake, bali mfanyakazi hulipwa kutokana anachokifanya na kukiingiza kwenye kampuni.Hao wameajiriwa ili watengeneze pesa na wajilipe na sio diamond kuwalipa hizo 10m kutoka kwenye mfuko wake
Sijasoma hilo orodha lakini hata hivyo nina imani orodha imeongozwa na wana-Nigeria na labda Msouth moja au wawili!Mimi sio shabiki wa Mambo ya mziki wa tanzania ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana ila nimejiuliza baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa shida nini? Nikaendelea kucheki adi top-ten jamaa hayupo!
Wizkid&Davido Wapo. au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Hebu wewe Fanya hivyo tuoneHao wameajiriwa ili watengeneze pesa na wajilipe na sio diamond kuwalipa hizo 10m kutoka kwenye mfuko wake
Well saidUkweli kuhusu wasanii unajulikana siku wakifa
Ila Jamaa ana hoja nzito.Ahaaaaaaaaah daaaaaaaaah so sad yaaani unafananisha mbingu(diamond) & aridhi(k-lyn a.k.a changudoa) change your mind my brother
AiseeWewe umekuwa no ngapi mkuu?
Mh..ambao ni kina nani........?...
KhaaaWw ultaka awe namba ngapi labda ??
MhUmeshindwa kuwauliza???
Kumbe,Ndivyo ilivyo
Social media isiwadanganye
Kuwa maarufu na kuwa tajiri ni vitu viwili tofautiMimi sio shabiki wa mambo ya muziki wa Tanzania, ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana.
Ila nimejiuliza, baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi Barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa, shida nini?
Nikaendelea kucheki hadi Top-Ten jamaa hayupo ila Wizkid & Davido wapo. Au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Siku nyingine uwe unakuja na ushahidMimi sio shabiki wa mambo ya muziki wa Tanzania, ila napenda sana kuingia mitandaoni na sifa anazopewa Diamond ni nyingi sana.
Ila nimejiuliza, baada ya pitapita zangu nimekutana jarida maarufu Marekani la Forbes limetaja wasanii matajiri zaidi Barani Africa ila cha kushangaza Diamond sijamuona kabisa, shida nini?
Nikaendelea kucheki hadi Top-Ten jamaa hayupo ila Wizkid & Davido wapo. Au uwa ni kiki tu na maisha ya kuigiza?
Umemaliza mkuu.Sijasoma hilo orodha lakini hata hivyo nina imani orodha imeongozwa na wana-Nigeria na labda Msouth moja au wawili!
Man, bado sana kwa msanii wa Tanzania kushindana na wasanii wa Nigeria hususani linapokuja suala la kipato!!! Mosi, Nigeria ina diaspora angalau mara tano ya diaspora wa Tanzania! Kutokana na hilo, kisha ukachanganya na diasporas wengine wa West Africa, ndo maana unakuta wasanii wa Nigeria wanajaza sana kumbi hata wakipiga show nje ya Afrika kwa sababu!
On top of that, audience ya wasanii wa Nigeria ni karibu kote Kusini mwa Jangwa la Sahara! Kwa maana nyingine, karibu diaspora wote wa kusini mwa jangwa la sahara ni mashabiki wa wasanii wa Nigeria na hivyo kuzifanya show zao za nje na zenyewe kuwa kubwa na mapato mengi!
Ukitoa hilo la shows, kama ujuavyo, mbele watu wananunua sana digital music! Hao Diaspora ni chanzo kingine kikubwa sana cha mapato kinachotokana na digital sales ya muziki wa Kinaija!
Trust me, katika yote hayo, Diamond anabebwa zaidi na Wakenya kuliko na Watanzania hususani linapokuja suala digital sales.
Kubwa zaidi, ENDORSEMENT! Value ya endorsement ya wasanii wa Nigeria kutoka kampuni zilizo Nigeria ni kubwa maradufu ya zilizopo Bongo!!!
But look here!! Leo hii Forbes wakisema wataje orodha ya wasanii tajiri duniani basi orodha hiyo itakuwa imetawaliwa na Wamarekani au wasanii wanaofanyia kazi Marekani hata kama sio Wamarekani!! Alternatively, ukitaja wafanyabishara tajiri zaidi duniani nako utakuta kuna Wamarekani kadhaa!!! Na hata ukisema utaje kampuni tajiri zaidi duniani nako utakuta za Kimarekani!!!
Rudi Africa!
Ukitaja matajiri 10 wakubwa kabisa kutoka Africa, huwezi kukuta Mtanzania hata mmoja lakini utakuwa Wanaija wa kutosha!!!
Ukisema utaje kampuni kubwa 10 kutoka Africa, huwezi kuipata ya Tanzania lakini za Naija utazikuta!!!
Kwa staili hiyo, ni ngumu sana kwa msanii wa Tanzania kuwa miongoni mwao!
So, kitu pekee kinachoweza kumwingiza Mond kwenye hiyo list ni mchanganyiko wa muziki na hustles zake nyingine! Msanii wa Nigeria anaweza kuwa kwenye list hata bila ya hizo hustles zingine!
So, it's all about the business and the economy!