Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
1.Diamond
Huu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label yake inayomwingzia mkwnja day after day

2.A.Y
Japo jamaa hategemei sana kwenye mziki kwa asa ivi ila kutokana na miladi yake kwa mfano ana kipindi eatv ambacho kwa mtazamo tu wa kawaida kinamwingizia mpunga wa kutosha kabisa

3.Weusi
Hawa jamaa nao kwa huu mwaka ulikuwa poa sana kwako maana wametoa ngoma Kali sana ambazo zimewapatia show za kutosha na zenye mkwanja mwingi

4.Navy kenzo
Hawa jamaa ni kati ya makundi yanoyofanya vizuri sana kwny huu mziki wa bongo flava na wamewaza kupata endorsement airtel ambayo nahisi iliwatengenezea mkwanja mwing sana plus wana studio yao the industry ambayo nayo inaingiza mpunga wa kutosha

5.lady jay dee
Binti machozi ukipenda mwite komando au anaconda, tokea arudi na ngoma yake ya ndi ndi ndi baada ya kukaa kimya takriban mwaka mmoja imemuweka pazuri kufanya show za kutosha tena zake yeye mwenyewe plus show kali kabisa aliyoifanya pale mlimani city ambapo kiingilio cha chini ilikuwa 50,000Tsh.

Huwo ndo mtazamo wng

Mwenye maoni tofauti anakarishwa coz hili ni jukwaa lenye uwanja mpana na linalowahusu macelebriti wetu so karibuni jamvini
 
Weka namba ueleweke mkuu, hizi story mbona hata kwenye kahawa tunapiga, ili hali tu unajua kupopoma..
 
Hakuna ukweli wowote wakuprove maybe Diamond kuna kauhalisia
 
Huvi AY kile kipindi kinamuingiziaje pesa! Sijaona kama kina wadhamini au sio lazma?
naomba nijuze mkuu
 
Duh we jamaa eti mtazamo wa kawaida, bila kuweka figure unapost ujinga tu..ila no wonder, nikiona post kama hizi huwa namkumbuka Trump!
 
Kwani allykiba hayupo.. Hapana daimond kakununua
 
Utafiti wako ulichukua muda gani?au ni mtazamo tuuh wako?
 
Hahaahaha nimejikuta tu nacheka sina cha kupost ushaamua uweke ww hvo. hv jide ukitoa ile show ya 50 kuna nyingne aliyofanya kama ile? kiasi cha kumueka awe rich 2016?
Vp kuhusu weusi show ipi waliyoifanya zaidi ya imooooo!
Huyo Ay je? aiseee unaniumiza kichwa....

Umetumia utajiri wa shows au nyimbo nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…