Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

Mtoa post unatufanya sisi watoto wadogo nini. Hebu leta vitu kwa fact, sio kutupostia vitu visivyo na uhakika kwa kua tu liubongo lako limekutuma hivo
Nimejaribu kuelezea hint kidogo so na ww chimba zaidi sasa ili ujue kama nipo right au nimepuyanga
 
Kati ya hao aliowataja hapoo juu kunaa ambayee amejionyeshaa kama ana mkwanjaa kiasi flan mkuuu
Mafanikio huwa hayajifichi kama kweli una make mkwanja wa kutosha ata kama hujitangazi but mafanikio yenyewe ndo yatajionyesha kuwa huyu jamaa anampunga mwingi
 
[emoji23][emoji23]wanamkubali moyoni ila jeuri tu utoe list ya msanii alieingiza pesa umwache kiba alifanya show n Chriss brown ile show iliimwingizia mpunga mrefu
 
Toa na wasanii top 5 waliotoa video bora 2016....@Isho boy
 
Toa na wasanii top 5 waliotoa video bora 2016....@Isho boy
Kuna watu hii list inawakosesha amani kabisa lkn mm nimeangalia uhalisia tu cjachukulia kishabiki
 
[emoji23][emoji23]wanamkubali moyoni ila jeuri tu utoe list ya msanii alieingiza pesa umwache kiba alifanya show n Chriss brown ile show iliimwingizia mpunga mrefu
Unaweza ukapiga show ata na jay z ila ukaambulia sifa tu so kupiga show moja na breezy haikufanyi uingie kwny list ya wasanii waliomake hela nyingi.....na hakuna chuki wala nn ila nimeangalia uhalisia wa mambo
 
Kuna watu hii list inawakosesha amani kabisa lkn mm nimeangalia uhalisia tu cjachukulia kishabiki
Kawaida yao haoo....... Mi hapa naandaa list ya wasanii top 5 wa East Africa wenye majina West Africa. hahhahaaha.....wacha waloe povu tu ,hakuna namna.
 
Back
Top Bottom