PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Nimejaribu kuelezea hint kidogo so na ww chimba zaidi sasa ili ujue kama nipo right au nimepuyangaMtoa post unatufanya sisi watoto wadogo nini. Hebu leta vitu kwa fact, sio kutupostia vitu visivyo na uhakika kwa kua tu liubongo lako limekutuma hivo
Imepenyaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu yanakutiririka.
Mtazamo kakaUtafiti wako ulichukua muda gani?au ni mtazamo tuuh wako?
Rejea hili jukwaa linawahusu akina nani mm cyo celebrity vitu zingne haviitaji sana nguvuwewe umetengeneza ngapi mkuu wangu?
Kati ya hao aliowataja hapoo juu kunaa ambayee amejionyeshaa kama ana mkwanjaa kiasi flan mkuuuHuwa hapendi Kujionyesha anampunga kama wasanii wenzake wanavyo fanya!
Hahahaaa kwa nn mkuuSio kweli hii list ipuuzwe
Mafanikio huwa hayajifichi kama kweli una make mkwanja wa kutosha ata kama hujitangazi but mafanikio yenyewe ndo yatajionyesha kuwa huyu jamaa anampunga mwingiKati ya hao aliowataja hapoo juu kunaa ambayee amejionyeshaa kama ana mkwanjaa kiasi flan mkuuu
hahhaahahaa...... Kati ya thread zote za kuwa rank wasanii hapa siku ya leo. hii thread ina ukweli mwingi.Sio kweli hii list ipuuzwe
Hana pesa yey anapesa ya madafu tu huwez kumwez hiz levelKwanini panapotokea list za wasanii richest TZ Ali Kiba hayupo kwenye categories hizi.
Nimeuliza.
Wee icjidanganye pesa hazifichik uliwanazo tu utaonekana so kiba bado sana ajipangeHuwa hapendi Kujionyesha anampunga kama wasanii wenzake wanavyo fanya!
Kuna watu hii list inawakosesha amani kabisa lkn mm nimeangalia uhalisia tu cjachukulia kishabikiToa na wasanii top 5 waliotoa video bora 2016....@Isho boy
Unaweza ukapiga show ata na jay z ila ukaambulia sifa tu so kupiga show moja na breezy haikufanyi uingie kwny list ya wasanii waliomake hela nyingi.....na hakuna chuki wala nn ila nimeangalia uhalisia wa mambo[emoji23][emoji23]wanamkubali moyoni ila jeuri tu utoe list ya msanii alieingiza pesa umwache kiba alifanya show n Chriss brown ile show iliimwingizia mpunga mrefu
Kawaida yao haoo....... Mi hapa naandaa list ya wasanii top 5 wa East Africa wenye majina West Africa. hahhahaaha.....wacha waloe povu tu ,hakuna namna.Kuna watu hii list inawakosesha amani kabisa lkn mm nimeangalia uhalisia tu cjachukulia kishabiki