Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

Hizi research zenu mnafanyia geto huku mmeshiba shisha pelekeeni vinabo hukohuko.
Sio Kisa Jamii forum people talk openly basi unaopen hadi ujinga wako, sham3 on you puppy!
 
Hizi research zenu mnafanyia geto huku mmeshiba shisha pelekeeni vinabo hukohuko.
Sio Kisa Jamii forum people talk openly basi unaopen hadi ujinga wako, sham3 on you puppy!
Ongea kwa fact cyo kuropokwa tu
 
1. Diamond-Amepata Show nyingi, amepata endorsement na Vodacom, Ametoa Nyimbo Nyingi Pia. Balozi wa Chillsos, UMG( inasemekana kapata mkwanja wa maana), BET Nominations, But nasikitika Mond hajapata Tuzo kubwa mwaka huu, naamini baada ya kuja Prince Riaz bas Atafanya Maajabu makubwa zaidi, but namshauri arudi kidogo kwenye Mziki wake, Yaani ile Diamond Original kama ya Nenda Kamwambie, Mbagala, Nitarejea, Ukimwona (sauti original haichuji haraka), Utanipenda
Mfano Mzuri ni Salome ile nyimbo imebamba kwa sababu Rayvany kaimba sauti original!

2.Alikiba-Amepata show na Chris Brown, Amepata Show MTV Mama, Amefungua Fiesta, Amefunga Fiesta, AJE imempa Mkwanja na kumtambulisha, Maana Aje imeuzwa sana TZ, Imeuzwa Kenya, Uganda, South Africa, Nigeria na ktk Mitandao mingine zaidi ya 700 duniani, Amepata dili na Sony (inakadiriwa Billioni Moja ya Kitanzania), Mwendokasi Festival, Phatom 6 Techno Uzinduzi Dubai, Bado ni Balozi wa Tembo! Jamaa bado anatisha sana kuimba nyimbo zenye hisia kali!
Kwa mfano: Alichonipa mimi Mungu unakijua, sina haja ya kujitutumua nikaumia.

3.VeeMoney-Huyu anafight sana, Amefanya vizuri, na amepata nominations nyingi, lakini nyimbo zake pia ni nzuri. naamini kamake mkwanja na DSTV, pamoja na Samsung. Coke Studio

4.JohMakin-Kapata show mdogo mdogo ft weusi na Jux, Coke studio

5.WCB Artist-Wamepata show wakiongozwa na RayMond kupitia kwetu mpaka kutajwa MTV MAMA siyo mchezo.

Unaruhusiwa kuedit, laiti kama tungalikuwa tunajua figures basi ingalikuwa rahisi sana,
Haya ni Maoni yangu.
 
Open minded. Safi sana
 
Ali kiba anakua namba mbili kwenye list.Otherwise list yako ni fake
 

Tupe list yako itasaidia kucompare
 
Umejitahidi kutunga verse bado kuingia studio tu ..
 
Umetumia method gani kufanya utafiti au ni Hisia zako tu
 
Weka facts hapa usiweke curiousity
Kaka tatzo research yang unaona kama yakishabiki lkn imejaa uhalisia kabisa kuwa howo ndo wasanii walioingiza pesa nyingi kaka

Wengne w alikuwa wasindikizaji tu na watafuta sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…