Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wakenya hawana cha kujivunia hapa
Cha msingi ni utendaji, maana mademu wenu tunawachukua sana, tembea Kenya uone jinsi wameolewa wengi. Tukiwa Dar huwa tunawapa romance hadi wanachanganyikiwa, nyie mnabaki wivu tu.
Hakuna lolote, papuchi za wakenya zina maji kinoma
Hili la mademu tusibishane, Wabongo hamna lolote ila chips mayai na viroba. Mpo hoi hata hamtajiki kokote kwenye michezo, ikiwemo Olympics. Mademu wenu wana kiu sana maana wanaume hawapo tena, akikumbana na Mkenya, yaani anabaki kupenda tu.
Kushiriki olympics sio SI unit ya kujua performance ya mtu.
Mademu wenu hawana mvuto ndo mana mnajazana bongo kuopoa vimwana.
Unakuta demu wa kenya kakomaa akigonga hodi mlango unapata ufa
Kushiriki olympics sio SI unit ya kujua performance ya mtu.
Mademu wenu hawana mvuto ndo mana mnajazana bongo kuopoa vimwana.
Unakuta demu wa kenya kakomaa akigonga hodi mlango unapata ufa
Kushiriki olympics sio SI unit ya kujua performance ya mtu.
Mademu wenu hawana mvuto ndo mana mnajazana bongo kuopoa vimwana.
Unakuta demu wa kenya kakomaa akigonga hodi mlango unapata ufa
Aha! ndio hilo tatizo lenu sasa, kulaumu mademu kwa udhaifu wenu. Ukishajiona mdhaifu unaanza kutafuta kila mbaya kwa demu. Kwa ushauri wangu
- Wacha kabisa chips mayai
- Wacha beer, viroba ... labda wine kiasi
- Chapa zoezi mara nne kwa wiki
- Kula vyakula vya kiasili na mchina, pia kula mbegu za maboga (pumpkin seeds, zinaongeza testosterone)
- Kunywa maji kwa wingi
- Kula matunda, haswa maembe (fana utafiti, maembe muhimu)
- Halafu jizoeshe kuona kila nzuri kwa demu
- Pia jizoeshe kumpeleka demu sehemu tofauti tofauti, labda kule Zanzibar ama Kigamboni, yaani badilisha hoteli kila mara
Ukijizoesha haya, utajikuta uko bomba sana kwa mambo ya mademu, hivyo punguza negative outlook towards women. Washauri wenzio vijana wa Kibongo pia.
Ha ha ha! Acha ujinga.
Tunaongelea mvuto sio performance. Kwa mvuto East Africa Rwanda na Tanzania hawashikiki. Kwa mbali Kenya na mipingo ya uganda.
mkuu hahahahaha utamuua ila kiukweli mademu wa kenya ni miyayusho halafu lawmaina78 kashindwa kutofautisha romantic people's na sexy machine kenya wengi ni sexy machine
Romance bila shughuli bomba kitandani ni uwongo. Demu hata umnunulie nini, umpende aje, umpe maneno matamu ya aina yote dunia, bila ngoma safi kitandani, mengine yote yatabaki zero.
Naona somo langu bado haulishiki, huwezi kuwa romantic kama utabaki kuwabagua mademu kwa misingi ya mipaka ya nchi, maana biologically hamna tofauti, mzungu ndiye aliyechora mipaka. Mwanaume unapo anza kumbagua mrembo yeyote kwa jinsi yoyote, uromance wako unaisha halafu unabaki machungu, mdhaifu na hoi, na ndio tatizo la wanaume wa Kibongo. Kila ukitulia na jamaa wa Kibongo kwa club, mara nyingi kila linalomtoka mdomoni ni mabaya ya mademu wanaopita. Hii utaiona Dar, Nairobi na kote.
asee sidhani kama wapo romantic
kwanza si unajua huwa hawananiii?
hapo umejijibu mwenyewe kumbe wanafuata pesa zenu sio mapenzi.Cha msingi ni utendaji, maana mademu wenu tunawachukua sana, tembea Kenya uone jinsi wameolewa wengi. Tukiwa Dar huwa tunawapa romance hadi wanachanganyikiwa, nyie mnabaki wivu tu.
hapo umejijibu mwenyewe kumbe wanafuata pesa zenu sio mapenzi.